Royal Tour
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 252
- 459
Wakuu nimefanikiwa kukutana na mtoto wa mzee Bitchuka na amekubali kutoa namba za Mzee wake na ziwekwe hapa. Kwa yeyote atakayeguswa anaweza kutuma chochote na hakikisha majina ni HASSAN REHANI BITCHUKA.
0784 567760 na 0714567750
Ameniambia kutokana na ugonjwa huwa hapokei simu mara kwa mara ila usichoke kupiga atapokea tu.
Wakuu naamini nimetimiza ahadi ila tujitahidi kumsaidia Mzee wetu Hali yake siyo nzuri.