Hassan Rehani Bitchuka: Fundi wa muziki wa dansi, sauti ya kinanda. Yu wapi huyu mtaalam wakuu?

Hassan Rehani Bitchuka: Fundi wa muziki wa dansi, sauti ya kinanda. Yu wapi huyu mtaalam wakuu?

"umtafute mpaka umuone mchumba wangu Clara.....mchumba wangu Clara..
Nyumbani anapoishi ni Msimbazi kota.... ukimuona mpe salamu nyingi sana...mueleze mchumba wako Kibwana anakusalimuuu......"
Hatari sana, hawa wazee walikuwa wanajua.
Walikuwa wanajua kwa kweli tuwape tu pongezi zao
 
Baadhi ya Nyimbo ambazo huwa nazo siku zote nitembeapo ni :
- Mume wangu Jerry,
-Kila siku Kelele,
- Pata Potea,
-Chenga ya Mwili,
-Hapendeki
-Clara,
-Akiambiwa Aangukie...
-NK Nk.
Kwenye list yako ongeza ONYO, Na huruma kwa wagonjwa, hutojutia mkuu
 
Baadhi ya Nyimbo ambazo huwa nazo siku zote nitembeapo ni :
- Mume wangu Jerry,
-Kila siku Kelele,
- Pata Potea,
-Chenga ya Mwili,
-Hapendeki
-Clara,
-Akiambiwa Aangukie...
-NK Nk.
Nipo hapa naburudika na onyo mda huu.
 
Huyu Hassan Rehani Bitchuka mtafuteni toka akiwa Nuta ndio mtamjua vyema.
1. Maisha ya Mjini
2. Narudi kijini
3. Kilimo cha kufa na kupona
4. Halima
5. Ebu sikia ama upekepeke

Huyu mwamba hafai
 
Huyu Mzee anahitaji msaada kila atakae guswa tumchangie kwa no yake nimeongea nae no yake ni 0784567750
 
Huyu Mzee anahitaji msaada kila atakae guswa tumchangie kwa no yake nimeongea nae no yake ni 0784567750
Tunashukuru snaa mkuu kwa kutuletea mawasiliano yake, jamani shime shime tumsaidie hyu mzee angali hai, namba hyo hapo sasa nadhan kabla hujatuma chochote ihakiki ujiridhishe kwanza.
 
Tunashukuru snaa mkuu kwa kutuletea mawasiliano yake, jamani shime shime tumsaidie hyu mzee angali hai, namba hyo hapo sasa nadhan kabla hujatuma chochote ihakiki ujiridhishe kwanza.
Yupo kwake sinza ni mgonjwa mpigie kwa hiyo no yake mtumie chochote.
 
Huyu Mwamba Pale Sikinde alikuwa hana mfano wake..

Sikiliza Kibao cha Hiba utajua kweli huyu mwamba alikuwa ana sauti ya kipekee.

Pole nyingi kwake Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apate kupona.
 
Back
Top Bottom