wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
- Thread starter
- #81
Kweli mkuu, jitahidi pia umchangie mkuu namba yake hyo hapo juu,.Huyu Mwamba Pale Sikinde alikuwa hana mfano wake..
Sikiliza Kibao cha Hiba utajua kweli huyu mwamba alikuwa ana sauti ya kipekee.
Pole nyingi kwake Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apate kupona.