Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Muhimu kwa mlioko Dar mkamtembelee...ukiwemo wewe, chukua namba yake(Bitchuka mwenyewe) uiweke hapa (kwa ridhaa yake) ili wadau wa mbali na wa karibu waweze kutoa chochote kumsaidia.Ambae ataweza kutupatia mawasiliano yake atakuwa amefanya jambo la maana sana.
Tujitokezeni tumsaidie wakuu,
Karibuni wote kwa suggestions zaidi.