asante mkuu. dah ngoma kali sana ile mkuuHuo wimbo unaitwa Shukran kwa Mjomba.
"Ukitaka tuelewane na mimi, muondoe huko uliko oohh" ×2
"Atakaa mpaka lini kilakitu anakutegemea, ...........muondoe eehh eee lelelee muondoe"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuu. dah ngoma kali sana ile mkuuHuo wimbo unaitwa Shukran kwa Mjomba.
"Ukitaka tuelewane na mimi, muondoe huko uliko oohh" ×2
"Atakaa mpaka lini kilakitu anakutegemea, ...........muondoe eehh eee lelelee muondoe"
Sasa jaribu kusikiliza wimbo unaitwa "Kipipa Ayubu" akiwa na OSSasante mkuu. dah ngoma kali sana ile mkuu
Amewahi kuhojiwa ni wimbo gani kwakwe ndio the best kuliko zote akajibu "Si wazuri binadamu"Yu mgonjwa, ana nyimbo nyingi na Safi sana, zenye mafunzo mazuri sana. Hebu sikiliza tufurahi na Wana sikinde tucheze Leo ngoma ya ukae. Ukitaka ufurahi kila jmosi njoo uburudike na Wana sikinde oyee! Halafu duniani kuna Mambo, Editha, njia ya kwetu, nalala kwa tabu chache tu za sikinde. Safari sound alikwenda akaimba ile nyimbo tamu, nimeachana na mume wangu, nimekwenda na kwa Rehani oooh baada ya muda si mrefu kasema niondoke Sina tabia mzuri ohhh
Bitchuka anaishi Sinza mkuu yupo na mkewe hivyo ukifika pale utaweza kutoa msaada wa moja kwa moja otherwise bado sijapata nafasi yakupata contact zake...Ila yupo nyumbani kwake Sinza na anaumwa huu Ni mwaka wa pili Sasa!...Yaan mtu akitaka kutuma msaada anatuma kwa muhusika yupi au kwa bitchuka mwenyewe,na pia anaishi wapi kama fans wake wakitaka kumjulia hali,.
Asante kwa taarifa mkuu, naamini tutajitokeza na wengine kumsaidia, wimbo wao wa huruma kwa wagonjwa umebeba kila kitu anachopitia sasaBitchuka anaishi Sinza mkuu yupo na mkewe hivyo ukifika pale utaweza kutoa msaada wa moja kwa moja otherwise bado sijapata nafasi yakupata contact zake...Ila yupo nyumbani kwake Sinza na anaumwa huu Ni mwaka wa pili Sasa!...
Tumsaidieni huyu legend!
Nakuonya nakuhaasa wewe zumbukuku, oooo fikiria dunia, inavyokwenda, hapa alishirikiana na kina marehem shaaaban dede."mwana bitucha "
Daaa memory inashindwa kuload vzr coz hujafafanua zaid mkuu, ingeza nyama kdg tuukumbuke.mkuu nakumbuka wimbo flani hivi mtu anaomba alafu anasema 'bitchuka kazi kwako' alafu bitchuka anaimba 'ukitaka tuelewane na mimi' ule wimbo gani mkuu.
Bongo nyoso mkuu, wanakujali ukiwa na afya na fedha tuu, bt ukipitia mapito hawana habari na wewe, hvi vyombo vipo tu kwaajili ya kupiga hela.Kama ni michango ielekezwe kwake moja kwa moja.......Hivi wadau wa muziki ,vyombo vya wasanii , nk wanafanya nini ...hivi hawajiulizi magwiji kama hawa wanapotea kienyeji namna hii?
Naaam, naamini alieuhitaji kuujua ameujua sasa mkuuHuo wimbo unaitwa Shukran kwa Mjomba.
"Ukitaka tuelewane na mimi, muondoe huko uliko oohh" ×2
"Atakaa mpaka lini kilakitu anakutegemea, ...........muondoe eehh eee lelelee muondoe eehh lelelelele mundoeee"
Hii hapa ilikuwa Ochestra Safari Sound na waliimba na Marehemu Gurumo pia.
Tumsaidie mkuu, jf ni kubwa naamini watajitokeza wakaribu ambao watatuwekea mawasiliano yake tumsaidieDah! Mzee anahitaji msaada
Umetisha mkuuYu mgonjwa, ana nyimbo nyingi na Safi sana, zenye mafunzo mazuri sana. Hebu sikiliza tufurahi na Wana sikinde tucheze Leo ngoma ya ukae. Ukitaka ufurahi kila jmosi njoo uburudike na Wana sikinde oyee! Halafu duniani kuna Mambo, Editha, njia ya kwetu, nalala kwa tabu chache tu za sikinde. Safari sound alikwenda akaimba ile nyimbo tamu, nimeachana na mume wangu, nimekwenda na kwa Rehani oooh baada ya muda si mrefu kasema niondoke Sina tabia mzuri ohhh
Wa kwanza ni wewe mkuu, na wa pili ni mimi, tuombe wajitokeze wengine tutekeleze hili, tujitahidi angali hai kufanya chochote kwaajili yake naamini tutabarikiwa.Amewahi kuhojiwa ni wimbo gani kwakwe ndio the best kuliko zote akajibu "Si wazuri binadamu"
Hii ni kwasababu walikuwa wanapigana vijembe sana na wapinzani wao sasa baada ya kutoa kibao cha si wazuri binadamu akawa amehitimisha vijembe na havikutolewa tena. Na hata hivyo ni wimbo uliopendwa sana.
Jamaa anajua sana. Natamani kungekuwa na uwezekano tukutane hata wadau 10 au 20 tunajikusanya tunaenda kumuachia hata chochote tutakachojaaliwa.
Tupe namba yake kupitia hyu ndugu yake mkuu.Mzaliwa wa kigoma huyu ana ndugu yake tena yuko kigoma anaitwa juma kitambi yeye huyu juma ndiye mtunzi wa wimbo wa rangi ya chungwa ule original