wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
Pamoja mkuuNgoja wataalam wa muziki wa zamani waje mkuu!
Unaitwa "nawashukuru wazazi" nadhan ni ddc mliman park.Samahani nje kidogo ya mada. Kuna wimbo wa zamani kuna kijipande kinasema "nilipomaliza masomo nilipata kazi'' naomba jina la wimbo.
Looo, tupe details zaidi mkuu,Bitchuka kwasasa yupo nyumbani kwake nimgonjwa anasumbuliwa na presha ya macho jicho lake moja likiwa limeharibika kabisa hivyo anahitaji sana msaada wenu wahali na Mali!
Ahsante sana mkuu ngoja niu-download.Unaitwa "nawashukuru wazazi" nadhan ni ddc mliman park.
Yaan mtu akitaka kutuma msaada anatuma kwa muhusika yupi au kwa bitchuka mwenyewe,na pia anaishi wapi kama fans wake wakitaka kumjulia hali,.Bitchuka kwasasa yupo nyumbani kwake nimgonjwa anasumbuliwa na presha ya macho jicho lake moja likiwa limeharibika kabisa hivyo anahitaji sana msaada wenu wahali na Mali!
'Nawshukuru Wazazi.'Samahani nje kidogo ya mada. Kuna wimbo wa zamani kuna kijipande kinasema "nilipomaliza masomo nilipata kazi'' naomba jina la wimbo.
Pakua enjoy ufundi wa bitchuka humo ndani mkuu.Ahsante sana mkuu ngoja niu-download.
Asante kwa kujazia nyama mkuu'Nawshukuru Wazazi.'
Mlimani Park ukiimbwa kwa wastad na Bitchuka.
SHUKURANI KWA WAZAZISamahani nje kidogo ya mada. Kuna wimbo wa zamani kuna kijipande kinasema "nilipomaliza masomo nilipata kazi'' naomba jina la wimbo.
Anaishi wapi mkuu, tupe fully details ili kama kuna mdau yoyote atataka kumsaidia basi awe na fully data.Bitchuka yu Mgonjwa, anahitaji maombi na msaada wa Wadau.
mkuu nakumbuka wimbo flani hivi mtu anaomba alafu anasema 'bitchuka kazi kwako' alafu bitchuka anaimba 'ukitaka tuelewane na mimi' ule wimbo gani mkuu.Aisee nimejikuta nikimkumbuka sana huyu fundi wa muziki wa dansi aliyepata kuvuma sana kwenye muziki wa dansi na nyimbo kadhaa zilizokonga vilivyo nyoyo zetu.
Yu wapi gwiji huyu?