Nani kazuiwa kuingiza gari ya umeme?Ndio maana hawataki Electric Vehicles ziingie, sio kwa huo unyonyaji
Hii kodi #7 inatafsirikaje kwa kiswahili?Baadhi ya Kodi zilizopo kwenye Lita moja ya Petrol.
1.Excise Duty (Kodi ya bidhaa maalum)
2.VAT (Value Added Tax – 16%)
3.Road Maintenance Levy (kodi ya matengenezo ya barabara)
4.Petroleum Development Levy
5.Railway Development Levy
6.Import Declaration Fee
7.Anti-Adulteration Levy
nani kazuiwa kuingiza gari ya umeme?
kodi ya kuzuia uzinzi 😀 😀 😀 😀Hii kodi #7 inatafsirikaje kwa kiswahili?
Inamaanisha nini katika huo utitiri wa kodi?
Mwambie tu Rwanda imetuzidi kwa EVHakuna Sera na Miundo mbinu rafiki kwa hayo Magari, Ili ku boost EV, na kupunguza dependance kubwa kwa Magari ya Mafuta serikali inapaswa kuhakikisha:
1. Charging station Zinajengwa
2. Kupunguza Kodi ya EV ili ziwe affordable.
3. Baadhi ya Taasisi za Serikali, Kua mstari wa mbele kwa kuanza kuagiza EV.
Swala la Nishati, ni Issue ya National Security, Sio sawa Nchi nzima tunatumia aina moja ya nishati kwa 95% mbaya zaidi hyo nishati haipatikani hapa Nchini ni ya kuagiza kutoka Nje.
Inamaama siku kukiwa na Vita kwa Miezi 5 huko Uarabuni, Vitu havipitiki, Tutaishije?
sawa, ila kauli ya kwamba "hawataki EV ziingie " inakua sio sahihi.Hakuna Sera na Miundo mbinu rafiki kwa hayo Magari, Ili ku boost EV, na kupunguza dependance kubwa kwa Magari ya Mafuta serikali inapaswa kuhakikisha:
1. Charging station Zinajengwa
2. Kupunguza Kodi ya EV ili ziwe affordable.
3. Baadhi ya Taasisi za Serikali, Kua mstari wa mbele kwa kuanza kuagiza EV.
Swala la Nishati, ni Issue ya National Security, Sio sawa Nchi nzima tunatumia aina moja ya nishati kwa 95% mbaya zaidi hyo nishati haipatikani hapa Nchini ni ya kuagiza kutoka Nje.
Inamaama siku kukiwa na Vita kwa Miezi 5 huko Uarabuni, Vitu havipitiki, Tutaishije?
Kwa hiyo hutaki Barabara na reli zijengwe au?Baadhi ya Kodi zilizopo kwenye Lita moja ya Petrol.
1.Excise Duty (Kodi ya bidhaa maalum)
2.VAT (Value Added Tax – 16%)
3.Road Maintenance Levy (kodi ya matengenezo ya barabara)
4.Petroleum Development Levy
5.Railway Development Levy
6.Import Declaration Fee
7.Anti-Adulteration Levy
Jumla 40% ya bei
Uzinzi au ubakaji?kodi ya kuzuia uzinzi 😀 😀 😀 😀
yaani sijawahi kishangaa kujutia kuzaliwa kipindi cha majangili kama hawaNchi ya kipuuzi sana hii. Watendaji hawana ubunifu kwenye kugundua vyanzo vipya na rafiki vya kupata kodi! Siku zote huwa wanaangalia kwenye mteremko tu ndiyo wanajaza makodi yao yote ili kumuumiza mlaji/mlipa kodi.
Ukiwakuta maofisini wanashindana kuwa na vitambi tu. Siyo wanawake, siyo wanaume! Kila mtu unamkuta amefutuka kama Wallace Karia.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Uzinzi au ubakaji?
Anyway! Lakini kwanini iwekwe kwenye mafuta, ilishawahikuzuia nani asibakwe ama watu wasizini?
Nchi ya maajabu hii!
Unapingana na mwenyekiti wako Heche anayesema ni 31% ya bei.Baadhi ya Kodi zilizopo kwenye Lita moja ya Petrol.