Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA
Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo!
Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba kuchukua hatua.
Ndipo kijana Kapteni Traore alipoibuka kwa mara ya kwanza kuokoa jahazi.
Kijana huyu alikutana na upinzani mkubwa wa wanahabari, na makundi yaliyokuwa yanafaidika na utawala mbovu wa Damiba!
Traore alipingwa vibaya na viongozi wakuu wa kijeshi hata kumtuhumu kwa kosa la uhaini!
Lakini Kapteni Traore alikuwa imara kuhakikisha imani ya wananchi inarejea hasa katika maeneo ya agadugu.
Baada ya kuandamwa na wanahabari, viongozi wa kijeshi na wanasiasa waliokuwa na mlengo wa Damiba!
TRAORE hakutumia mawasiliano ya simu, bali alikaa mafichoni na kuwasiliana kwa njia za kijeshi ikiwemo michoro, alama, na vibao maalum kufikisha ujumbe!
Traore alizidi kuungwa mkono na wanajeshi wapiganaji HUKU DAMIBA Akibakia kuungwa mkono na viongozi wakuu wa kijeshi!
Kila mara maelekezo ya wakuu wa kijeshi yaliposhuka chini kwa ajili ya utekelezaji yalionekana ni mabovu.
Hata Harakati za kumsaka na kumtia nguvuni Kapteni Traore hazikuzaa matunda.
Waandishi wa habari, wazee na wanasiasa walimtuhumu Kapteni Traore kuwa ni mchochezi na ni mhaini!
Baada ya mipango mikubwa ya siri Traore alifanikiwa kuuteka mji mkuu na WATU WOTE WALIOKUWA WANAMPONDA WAKIWEMO WAKUU WA MAJESHI!
Waligeuka na kuanza kumsifu kwa kazi nzuri aliyoifanya!
KAMA HUWEZI KUSAIDIA MABADILIKO KAA KIMYA WENYE UWEZO WATAFANYA
Wanafiki wote mwishoni hurudi na kupongeza