Namshangaa mjuba Balile anavyoponda ya capitaine tesha, media ya umma kama TBC imekwepa hata kumtaja jina huyo mwanajeshi zaidi ya kuripoti ya mzee butiku kukemea habari za mitandaoni. Magazeti ya kichawa wiki hii yatamponda capitaine tesha kwa kwenda mbele. Kuna gazeti mmoja si la kichawa la kila wiki lenyewe huja na habari za kizalendo, wiki litakuja full package habari na makala za trend hii ya capitaine tesha. Tesha asipuuzwe ni mtetezi wa nchi. Tulionya mapema kumtia Lissu ndani kama kumdhibiti mzalendo huyo ni kazi bure, wataibuka wengine wakali kuliko lissu aliyeko korokoroni mjuba wa watu. Sasa hivi angekuwa anahubiri reform zake wala akina tesha wasingepata ombwe kuweka watawala roho juu