Hata CCM wengine wapo mle sababu ya njaa lakini ukweli wanauona kuwa CCM imeshindwa kukidhi matarajio ya wengi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC

2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM

3. CHADEMA MNAANZA KUGOMBANIA TU VYEO, VIJISENTI!

4. CHADEMA MNAANZA KUSEMEZANA UONGO, KUCHAFUANA, KUBAGAZANA, KUTUKANANA......na uchafu mwingine you can think of!
 
Hata nyie wewe na Mrema na Mbowe mmekula hela za Ccm
 
Ukitaka kuliponyesha jipu lazima likamuliwe hadi yule mdudu atoke
This time naona karibu mdudu atatoka.
NIMESEMA JIPU
 
1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC

2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM

3. CHADEMA MNAANZA KUGOMBANIA TU VYEO, VIJISENTI!

4. CHADEMA MNAANZA KUSEMEZANA UONGO, KUCHAFUANA, KUBAGAZANA, KUTUKANANA......na uchafu mwingine you can think of!
Supermajority ya wanasiasa wanaotaka uongozi hawasukumwi na nia ya dhati ya kutumikia umma. Wanasukumwa na maslahi binafsi. Kwao chama cha siasa ni means ya kuwawezesha kupata wanachotaka. Akiona fursa za uongozi kwenye chama alichomo zimebana, atajaribu vita vya wenyewe kwa wenyewe. Hilo lisipomsaidia, yuko tayari kwenda kujaribu bahati yake elsewhere. Kwahiyo, most (if not all) active politicians wana njaa!
 
Back
Top Bottom