Correction, raisi Kikwete hakurudisha iliyoitwa fedha ya rada bali Waingereza wenyewe ndiyo waliopigania ikarudishwa ilijadiliwa mpaka Bungeni kwao na masharti ikawa hela zikirudi ziwekwe kwenye Elimu hivyo kila kitu kilifanywa na Waingereza wenyewe na hakukuwa na input yoyote ile kutoka Serikali ya Tanzania, kama wa Uingereza wangekaa kimya hakuna hata Shilingi ingerudi, kama hata ni kweli ilirudishwa hiyo fedha na Waingereza walikuwa na nia ya dhati kutupigania jambo ambalo binafsi siliamini hilo ni swala lingine!