Hata dhahabu ilifichwa Kenya lakini ilirudishwa, Rais Samia rudisha hela zilizofichwa China

Kikwete alisema hakuna chenchi ya rada uingereza,waziri anayehusika na maswala ya afrika wa uingereza kipindi kile bi Clara short alilivalia njuga lile swala mbugeni kwao uingereza mpaka akaamua kujiuzuru,na ndipo serikali ya ungereza ikalejesha fedha,
 
Huyu mimi simuamini akisema kitu! Aliutangazia ulimwengu kuwa yule Jamaa Gaidi alafu akaja kufuta kesi! Kwaiyo huyuwakumuangalia tu ila hajui analolisema.
Raisi anayeandaliwa kila kitu na kukifanya tu bila hata kushirikisha japo 1% ya brain yake unawezaje kuanza kumuamini pale aliropoka tu nakuhakikshia hilo
 
Bora umeliweka vizuri kiongozi sasa pesa zipo china na rasi anajua halafu asijue nani ameziweka huko
 
Acha akili legelege.Kila anayehoji unafikiri ameolewa kama mama yako mzazi?Stupid!
Ni kweli mama yangu kaolewa,lkn wewe unahangaika na jpm kwa chuki za kike,alishakupumilia akakudhurumu malaya wewe!?,kila mada ikija, wewe unatafuta mazingira ya kumwingiza jpm,kama sio umalaya ni nini?,
 
Hakuna pesa za kurejesha mkuu.

Ule ni uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…