sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani,
Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila kwa sasa haya mabando yamekata mbawa.
Hata hizo tuzo za bet, views zilikuwa na nafasi yake kumpa uzito msanii, kwa sasa hali ni mbaya aisee.
tangu abando yapande, Kina harmonize, Alikiba, Nandy, n.k hawajaweza kufikisha views milioni kwa siku kama ilivyozoeleka zamani, nikawa nasubiri kwa shauku nipime upepo wa Diamond huenda ataweza, mana huyu hata aimbe kipogolo ana nyomi la mashabiki.
Video imetoka tarehe 15 saa 4 usiku lakini mpaka sasa ni zaidi ya masaa 37 bad video inachechemea,