Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Dec 17, 2021 #21 Binamuyako said: Hizo hasira bila shaka ni njaa Click to expand... oyaa tafuta pesa acha kulia-lia kama kifaranga yatima.
Binamuyako said: Hizo hasira bila shaka ni njaa Click to expand... oyaa tafuta pesa acha kulia-lia kama kifaranga yatima.
L Livejr JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,070 Reaction score 2,794 Dec 18, 2021 #22 Kusema ule ukweli, wimbo mbobu sana. Yaani wala huwezi kama Diamond katoa wimbo this week! Ila wewr umekuja na story za Africa lengo likiwa kutetea uozo wa Diamond alioamua kuita 'HIT'[emoji23][emoji23][emoji23]
Kusema ule ukweli, wimbo mbobu sana. Yaani wala huwezi kama Diamond katoa wimbo this week! Ila wewr umekuja na story za Africa lengo likiwa kutetea uozo wa Diamond alioamua kuita 'HIT'[emoji23][emoji23][emoji23]
Franky Samuel JF-Expert Member Joined Oct 10, 2018 Posts 5,195 Reaction score 13,785 Dec 18, 2021 #23 Tusubil official video maana hiyo ni dance video huwa watu hawazitilii maanani
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Dec 18, 2021 #24 Sasa kama domondi katoa boko kama hilo nani akacheki? Hakuna cha mabando nyimbo lake bovu.