Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama muda mwingine Huwa naona anabeba lawama zisizo mhusu binafisi.Mambo kama haya ili yainufanishe nchi ili bidi mkuu wa nchi awe Magufuri ila kwa huyu kizmukazi tumepigwa mapema sana
Mpaka mda huu mabeberu 7 Tanganyika hawajapata kitu
Hivyo visima walichimba watafiti wa gesi na mafuta au kampuni za kuchimba visima vya maji?Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na yakipatikana Tanganyika tuu.!
Madini ya Tanzanite na madini mengine Tanganyika hayakugunduliwa na wanasayansi ama wasomi wenye elimu za kutosha .. La hasha, yamegunduliwa na wananchi wa kawaida kabisa ambao ni wakulima na wafugaji na ambao ugunduzi wao haukuwafaidisha chochote.. Baadhi walifungua kesi lakini hawakufika popote
Leo hii madini hayo yalishauzwa kwa mabepari kwa bei ya kutupa na yameshachimbwa yote
Tumeachiwa Mashimo yanayohifadhi maji machafu yenye bakteria wanaoleta magonjwa
Tumeachiwa milima bandia ya vifusi vya udongo usio na kitu
Tumeachiwa unaribifu mkubwa wa mazingira ulioharibu mpaka vyanzo vya maji kwa sumu mbalimbali za kuchenjulia madini
Tumeachiwa mamia ya watoto wasio na baba
Tumeachiwa vijana walevi na mmateja
Tumeachiwa mabinti wanaojiuza
Kwa kifupi tumeachiwa vilio misiba majuto na kila aina ya uchafu
Sasa kuna video zinatembea mitandaoni za gesi asilia inayovuja kupitia kizima cha maji
Yaleyale ya kuokota madini.. Hii gesi imejaa huko chini ya ardhi mpaka inavuja.. Je nayo tutaiuza kama ile ya Mtwara? Au kama yale madini yote?
View attachment 3114766
Huyu mama ni fisadi full stopHuyu mama muda mwingine Huwa naona anabeba lawama zisizo mhusu binafisi.
Kwanini bunge lilikubali kupitisha mkataba wa Dpw?
Mle Kuna wa Zanzibar wote?
Makamu wa rais,waziri mkuu, mawaziri na wabunge ni wazanzibar wote?
Huyu mkuu wa majeshi haoni?
Jibu ni Moja tu ufisadi wa viongozi wetu wote nilio taja hapo hakuna mwenye uchungu na Nchi yake Kila mtu ni mpigaji tu. Ananiangalia yeye kama yeye tu kuwa kapata mgawo wa sh ngapi basi.
Things fall a partThe Beautyful Ones Are Not Yet Born
Sisi watanganyika ni nyumbu. Tunauziwa Mali asili zetu tupo tu Wala hatuoni umuhimu wetu chadema wakisema tuandamame basi tunawaona ni wachumia tumbo.Huyu mama ni fisadi full stop
Sisi watanganyika ni nyumbu. Tunauziwa Mali asili zetu tupo tu Wala hatuoni umuhimu wetu chadema wakisema tuandamame basi tunawaona ni wachumia tumbo.Huyu mama ni fisadi full stop
Hapo itakua ni Marekani bila shaka.maana kiswaili ndio lugha yao ya Taifa.Kumbe hata hujui ni wapi lakini tayari uko bize kulaumu
✅Things fall a part
Daslam ni wengi sana, na wakiwa vigoli ni wazuri kwelikweli.Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk....
Itakuwa wa visima vya majiHivyo visima walichimba watafiti wa gesi na mafuta au kampuni za kuchimba visima vya maji?
HahahahahahhHapo itakua ni Marekani bila shaka.maana kiswaili ndio lugha yao ya Taifa.
Amini nakuambia mkuu hatutakuwa na majibu ya kuwajibu wajukuu zetu miaka30 tu ijayo itakuwa ni kazi kubwa mnoooo na hakuna majibu.📌🔨Sisi watanganyika ni nyumbu. Tunauziwa Mali asili zetu tupo tu Wala hatuoni umuhimu wetu chadema wakisema tuandamame basi tunawaona ni wachumia tumbo.
Lakini hao hao chadema ndo wanatufundisha namna sahihi ya kurinda rasilimali zetu hata wao wakichukua Dola Bado tutakuwa na uthubutu wa kupinga pale tunapoona wanatuingiza Chaka maana ujasiri huu wote wao ndo walitunoa.
Amini nakuambia mkuu hatutakuwa na majibu ya kuwajibu wajukuu zetu miaka30 tu ijayo itakuwa ni kazi kubwa mnoooo na hakuna majibu.
Sa100 yeye anajua sisi ni vilaza anafanya anavyotaka Wala hazuiliwi
Umepata kwa usahihi kabisa .. Nimefuatilia ni kweli ni Mtwara.. Kwahiyo kwa kifupi Mtwara kuna utajiri mkubwa wa gesi asiliaMada nzuri kabisa, inaharibiwa tu na wenye chuki za kidini na uarabu. Hao wanafanya mada ikose michango ya wenye akili. Hiyo lafudhi ya hao watu katika clip ni dhahiri hiyo itakuwa Mtwara