Hata hii nayo tutauza kwa mabepari?

Mambo kama haya ili yainufanishe nchi ili bidi mkuu wa nchi awe Magufuri ila kwa huyu kizmukazi tumepigwa mapema sana

Mpaka mda huu mabeberu 7 Tanganyika hawajapata kitu
Huyu mama muda mwingine Huwa naona anabeba lawama zisizo mhusu binafisi.

Kwanini bunge lilikubali kupitisha mkataba wa Dpw?

Mle Kuna wa Zanzibar wote?
Makamu wa rais,waziri mkuu, mawaziri na wabunge ni wazanzibar wote?

Huyu mkuu wa majeshi haoni?

Jibu ni Moja tu ufisadi wa viongozi wetu wote nilio taja hapo hakuna mwenye uchungu na Nchi yake Kila mtu ni mpigaji tu. Ananiangalia yeye kama yeye tu kuwa kapata mgawo wa sh ngapi basi.
 
Hivyo visima walichimba watafiti wa gesi na mafuta au kampuni za kuchimba visima vya maji?
 
Huyu mama ni fisadi full stop
 
Huyu mama ni fisadi full stop
Sisi watanganyika ni nyumbu. Tunauziwa Mali asili zetu tupo tu Wala hatuoni umuhimu wetu chadema wakisema tuandamame basi tunawaona ni wachumia tumbo.

Lakini hao hao chadema ndo wanatufundisha namna sahihi ya kurinda rasilimali zetu hata wao wakichukua Dola Bado tutakuwa na uthubutu wa kupinga pale tunapoona wanatuingiza Chaka maana ujasiri huu wote wao ndo walitunoa.

Amini nakuambia mkuu hatutakuwa na majibu ya kuwajibu wajukuu zetu miaka30 tu ijayo itakuwa ni kazi kubwa mnoooo na hakuna majibu.

Sa100 yeye anajua sisi ni vilaza anafanya anavyotaka Wala hazuiliwi
 
Afrika ina kila aina ya rasilimali hadi rasilimali UJINGA utaipata hapa.kinachotukwamisha nikile Kinachosemwa ni Uongozi bora na Siasa safi.Tungekua na hivyo vitu ili bara lingekua mbali sana.ila sasa akili zetu ni shida tupu.
 
Gas hata siyo big deal hivyo, kwenye visima vya mafuta huwa hawana pa kuipeleka hivyo wanaishia kuichoma tu moto. Ila hapo yakipatikana mafuta. . .
 
Hivyo visima walichimba watafiti wa gesi na mafuta au kampuni za kuchimba visima vya maji?
Itakuwa wa visima vya maji
Hapo itakua ni Marekani bila shaka.maana kiswaili ndio lugha yao ya Taifa.
Hahahahahahh
Amini nakuambia mkuu hatutakuwa na majibu ya kuwajibu wajukuu zetu miaka30 tu ijayo itakuwa ni kazi kubwa mnoooo na hakuna majibu.📌🔨
 
Mada nzuri kabisa, inaharibiwa tu na wenye chuki za kidini na uarabu. Hao wanafanya mada ikose michango ya wenye akili. Hiyo lafudhi ya hao watu katika clip ni dhahiri hiyo itakuwa Mtwara
 
Mada nzuri kabisa, inaharibiwa tu na wenye chuki za kidini na uarabu. Hao wanafanya mada ikose michango ya wenye akili. Hiyo lafudhi ya hao watu katika clip ni dhahiri hiyo itakuwa Mtwara
Umepata kwa usahihi kabisa .. Nimefuatilia ni kweli ni Mtwara.. Kwahiyo kwa kifupi Mtwara kuna utajiri mkubwa wa gesi asilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…