Hata hiki kidubwasha tunaagiza China!

Hicho ni kitu kikubwa sana,
Toothpick yenyewe tunaagiza China. Haihitaji hata utaalam wowote wala haina mechanism yoyote ile useme hatuwezi kutengeneza.
 
We unashangaa hicho...?.... vijiti vya kuchokolea meno vyatoka Uchi na.
 
Tatizo hapo sio wasomi kama unavyowanga hapa. Hii ni issue ya uwekezaji, ni biashara lazima awepo mtu wa kuweka mtaji kufanikisha hilo. Ukitoa mambo ya ubunifu, uzalishaji wa hiyo kitu unahitaji watu wa kada tofauti tofauti.

Utahitaji mtu wa manunuzi, kununua hizo materials kwa ajili ya uzalishaji.

Utahitaji eneo kwa kununua au kukodi ili kusimika mitambo kwa ajili ya kuhifadhi materials, uzalishaji na kuhifadhi hizo bidhaa.

Utahitaji mitambo kuchakata hizo materials kuzalisha hiko kifaa.

Utahitaji nguvu kazi katika kila hatua ya uzalishaji kufanikisha hilo.

Utahitaji mtu wa mauzo kufanikisha faida inapatikana na uzalishaji unakua endelevu.

Shughuli katika hatua zote hizo zinahitaji fedha, hivyo hilo swala ni swala la uwekezaji wa fedha za kutosha tu na wala sio swala la kutupia lawama hawa wahitimi.
 
Hata kunya tu mtanzania hanyi inavyopaswa. Sisi ni watu wa ajabu sana.

Mbrrr mbrrrr mbrr kammon nyau
Teh teh teh koh koh koh aaaarrrhhh.

Kwa hiyo mkuu kunya sahihi ndiyo kunyaje huko, au mtu hadi apelekwe kozi akajifundishe kunya ndiyo aweze kunya sawa sawa?
 
Wasomi wanawaza teuzi tu za kisiasa, no creativity, no patriotism, ulafi na uroho umewajaa
 
Tatizo si kukiunda hicho, tatizo ni kukizalisha kibiashara. Ni aibu
 
Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wameshiindwa kutengeneza tooth pick
 
Tukiwaambia ile elimu haina faida ilishikiliwa tu kwa vile ni mkoloni ,ila kiukweli hamna kitu hata maprofessor zero kabisa ...Kazi kubwa kupiga domo na siasa..
 
Kila kitu ni innovation, kama hatuna innovative minds usitegemee kufika unapotaka tufike.

Hata hivyo, haya mambo ya innovation yanaanzia mbali sana.
 
Tukiwaambia ile elimu haina faida ilishikiliwa tu kwa vile ni mkoloni ,ila kiukweli hamna kitu hata maprofessor zero kabisa ...Kazi kubwa kupiga domo na siasa..
Swala sio elimu haina faida, ukweli ni kwamba tumekosa watu wenye uwezo kifedha kuwekeza katika hilo hapa nchini.

Kumiliki kiwanda cha kuzalisha bidhaa hiyo hauhitaji kuwa na elimu ya injinia, japo ni kwelu katika sehem ya uzalishaji huo utahitaji huduma ya injinia.
 

Angalia china state ni wanaongoza kufanya uwekezaji ,huwezi kulinganisha na hawa wazee wa kula 10% elimu za mchongo kazi siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…