Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Japan huku jina la kawaida tu.Mmmh hiyo I'd yako hutokaa ukaribishwe ikulu Wala Kizimkazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japan huku jina la kawaida tu.Mmmh hiyo I'd yako hutokaa ukaribishwe ikulu Wala Kizimkazi
Kwa hiyo wewe huko mtaani kipindi sie tunahangaika na madaftari na peni,wewe uko tu unakula mabumunda au halafu Sasa uje uanze kurushia mawe watu,we duniani ulikuja kufanyiwa Kila kitu au sio?SWALI: Kama tungesoma wote, nani angetawaliwa?.
Huku mtaani bila elimu huo ufundi ningejifunzaje?.
Nadhani twende kwanza na swali juu ya swali kabla ya majibu sahihi.
Tatizo lipo kwenye uongozi wa nchi. Uongozi unapochechemea hakuna kinachobaki salama. Si unaona Makonda anavyofanya ujinga lakini? Najua swali la pili utauliza kwani wasomi hawawezi kufanya bila kuwategemea wanasiasa? Na mimi nitakujibu tena hivyo hivyo, tatizo ni uongozi wa nchi.View attachment 2879915
Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?
Nchi ya ajabu sana hii...
Takauchi..Sawa bwanaJapan huku jina la kawaida tu.
Nadhani turudi tu kwenye uhalisia wa mada husika sababu tukianza kurushiana vijembe hatutafika popote.Kwa hiyo wewe huko mtaani kipindi sie tunahangaika na madaftari na peni,wewe uko tu unakula mabumunda au halafu Sasa uje uanze kurushia mawe watu,we duniani ulikuja kufanyiwa Kila kitu au sio?
Hahahahahahhaa....kwanza anajua mpk hiko kidude kinakamilika nini kinahitajika?Mleta uzi tunaomba utuonyeshe ugunduzi wako ujitoe kwenye kundi la watanzania wajinga😁😁😁😁
Kumashiwa.Takauchi..Sawa bwana
Kwa hiyo anaendeleza productions Kwa Sasa?Kuna jamaa yangu alikua anataka kufungua kiwanda cha toothpick ...zengwe alilokutana mpk anakamilisha ni vile tu baba ake ni kigogo mkubwa serikalini na mwenye dhamana ya viwanda
Wajapani wote Wanyongwe tu....Kumashiwa.
Huwezi endesha viwanda kwa chuma cha screpa. China waliwahi jaribu wakashindwa. Kinachotakiwa ni chuma safi, kingi na cha bei rahisi. Mfano huko Liganga tungechimba na kusafisha tupate chuma safi. Mtu akitaka kuunda chochote awe na uhakika wa chuma.Chuma sio tatizo,
Vyuma vya skrepa vimejaa kibao wahindi wanayeyusha wanatengenezea nondo.
Huko njombe chuma inachimbwa ila kwenye nchi lazima kashapewa mgeni achukue anavyotaka.
Ajue wapi?yeye kakiona zake simple tu,ndio maana kaandika ulichoandika..Hahahahahahhaa....kwanza anajua mpk hiko kidude kinakamilika nini kinahitajika?
Angalie uwekezaji wake mwanzo hadi mwisho
Wewe unasema hicho? Hata sinfdano tu za kushonea hatutengenezi wenyewe.View attachment 2879915
Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?
Nchi ya ajabu sana hii...
Nenda kasome theory of comparative advantage na economies of scale.View attachment 2879915
Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?
Nchi ya ajabu sana hii...
Sio kukosa teknolojia. Tatizo hatujali, tunaongea sana. Wewe juhudi wanazofanya CCM kubaki madarakani, hadi wanatumia vyombo vyote vya dola, mpaka KJT! Ingekua imewekeza kwenye maendeleo tungekua tunakimbizana na SA. Lakini hatujali, wananchi hatujali na serikali ya ccm haijali. Wote hatujali. Upinzani unajitahidi kutuamsha tusilale lakini ndio kwanza tunaimba pambio mama yuko kazini.Tatizo ni kukosa teknolojia
Hushangai kuwa Hadi tooth pick za kuchokonolea meno tunaagiza china wakati miti tunayo
Hicho kifaa chaweza tengenezwa Tanzania gharama ikawa shilingi elfu 20 wakati mchina kinauzwa elfu moja
Mfano mafundi viatu tunao mchina Cha kwake Unakuta Kiko Hadi Cha shilingi Tano chetu Hadi kutoka kinasoma kuanzia elfu 20
Bila teknolojia huwezi kutengeneza Kwa bei Rahisi.Shida inakuja hiyo teknolojia hawakupi Wala kukukuzia ndipo wanatuzidi hapo
Elimu ipo ila teknolojia Haipo
bado hajaanza uzalishajiKwa hiyo anaendeleza productions Kwa Sasa?
Wanaangalia ukubwa wa sokoWenye viwanda vya vyombo vya nyumbani vya plastic kama Jambo Plastic na Cello Plastic wamelala, fursa hizo kwao
Wewe Uzi umeuleta Kwa vijembe, kejeli na dharau...wewe ukijibiwa Kwa vijembe hutaki...Sasa kama umeajiri degree holder waliosoma sociology unataka wagundue engine unadhani Hilo ni possible?Unajua waungwana huwa wanaleta ugunduzi na ufanisi wao mezani Kabla hawajaanza kupopoa wenzao maweNadhani turudi tu kwenye uhalisia wa mada husika sababu tukianza kurushiana vijembe hatutafika popote.
Kwa taarifa nimeajiri degree holders 2 na mm ndo boss wao na kazi tunazofanya ni hizi nilizojifunza mtaani