Hata hiki kidubwasha tunaagiza China!

Hata hiki kidubwasha tunaagiza China!

Usichokijua ni kwamba vingine vinatengenezwa hapa hapa bongo ila vinaandikwa vinatoka uko china, uk, usa n.k kutokana na kasumba ya wabongo kupenda vya nje, izo made in china zisikushtue ni janja janja za kibiashara tu, pia mamlaka zikijua ni bidhaa ya ndani basi utaandamwa na kodi, tozo, ushuru n.k mpaka unakuta bidhaa ya ndani inauzwa ghali kuliko ya nje, vile vile hili ni suala la uwekezaji sio rahisi kwa graduate wa machenics au injinia kuwa na pesa ya kumudu kuunda gari. Tutawasema madokta wameshindwa kutengeneza panadol lakini hatujiulizi gharama zinazohitajika kuanzia kwenye utafiti mpaka dawa inahalalishwa kwa matumizi ya binadamu. TUACHE CHUKI DHIDI YA WASOMI
Kwanza huo udokta wenyewe ni halali au wa mchongo?
 
Unatakiwa kwanza uwe na chuma. Ukiwa huna chuma hata sindano utaagiza, ukiwa na chuma utaweza kuzalisha karibu kila kitu. Ni jukumu la serikali kuhakikisha nchi inazalisha chuma cha kutosha na kwa bei rahisi. Kama serikali bado haijaona umuhimu wa kuwa na chuma tutasubiri sana na kuendelea kulaumu wasio husika.
Si tuna migodi ya chuma kule mchuchuma na liganga? Ila cha ajabu mapanga, majembe n.k tunaingiza nchini kutoka china
 
Hili ni tatizo la viongozi. Ukiwa na chuma chako ni rahisi kuanzisha viwanda vya majembe, mapanga, majembe ya ng'ombe, ya matrekta nk. Hakuna nchi inaweza kuendelea kiviwanda bila ya kuzalisha chuma cha kutosha.
 
View attachment 2879915

Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!

Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?

Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisa.

Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?

Nchi ya ajabu sana hii...
Na wew ni mtanzania, Tengeneza hicho kwa ajiili ya waTz, si unaona rahisi, au wew hujaenda shule ?
 
Tunaishi poor developing country ,raw-material zipo ila technology ya kupata Hizo material bado ni poor,Umeme ni kisanga,urasimu mwingi ,bado Mtu anataka miracle kutoka Kwa vijana wanaotoka familia duni bila mtaji wa connection,hii so sawa
Hahahahahahaha

Sasa nikuambie hata hao watoto wenye connection nao pia wanapambana kifupi kufungua kiwanda hata kile kdg inahitaji mtaji haswa si mchezo
 
View attachment 2879915

Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!

Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?

Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisa.

Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?

Nchi ya ajabu sana hii...
Umeshafanya innovation gani
 
Unafahamu maana ya mass production and industrial subsidies. Kikitengezwa bongo hicho hakitauzwa kwa buku, kwa mtindo huu hatutaweza shindana na viwanda vya China.
 
Issue ni mtaji wa kufanya mass production ya hio kitu tunao? Matajiri wetu wanafanya biashara ya maji tu
 
Mikopo si mnachukua kila siku huko nje?, au siyo ninyi watanzania?
 
Watoto shuleni wanakaririshwa zaidi hivi
CH4(g) + 2O2(g) → CO2(g) + 2H2O(l)
Walete sasa kwenye uhalisia, utacheka...
 
View attachment 2879915

Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!

Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?

Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisa.

Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?

Nchi ya ajabu sana hii...
Kabla ya kulalamika na kusema Nchi ya maajabu wewe umetengeneza kipi? Au unataka nani atengeneze Ili wewe utumie?

Hilo ndio ajabu lenyewe
 
Wasomi wafanye ugunduzi na uvumbuzi, sisi tutatengeneza mbona!
 
Watoto shuleni wanakaririshwa zaidi hivi
CH4(g) + 2O2(g) → CO2(g) + 2H2O(l)
Walete sasa kwenye uhalisia, utacheka...
Hapo kuna watu umewaacha gizani wanaochanganya makemikali hata hawajasoma chemistry waliosoma chemistry hawachanganyi makemikali Dunia hii imejaa ufala sana
 
Hahahahahahaha

Sasa nikuambie hata hao watoto wenye connection nao pia wanapambana kifupi kufungua kiwanda hata kile kdg inahitaji mtaji haswa si mchezo
Umeona Sasa mambo yenyewe ndio hayo!Sio mambo ya kuamka Mtu Mmoja kashiba zake mseto wa choroko na kuanza kubeza watu.
 
Back
Top Bottom