Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Yaani wewe ni sawa bogoyo,alafu unalaumu wenye meno.Wasomi wafanye ugunduzi na uvumbuzi, sisi tutatengeneza mbona!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe ni sawa bogoyo,alafu unalaumu wenye meno.Wasomi wafanye ugunduzi na uvumbuzi, sisi tutatengeneza mbona!
Hahahahahaha...habari za jioni..na pole na kazi RafikiUmeona Sasa mambo yenyewe ndio hayo!Sio mambo ya kuamka Mtu Mmoja kashiba zake mseto wa choroko na kuanza kubeza watu.
Kuna haja gani ya kuitana Watanzania?.Kila mtu kaenda shule kwa faida yake na siyo kwa faida mtu mwingine.
Ndiyo maana hata vyeti vinaandikwa jina moja la muhusika tu.
Kama unataka kutengeneza umma nenda kajiunge na VETA ili ufanye hiyo kazi.
Unafikiri kusoma rahisi?
UDOM hakuna college wanaosoma mambo ya engineering na technology (COET)View attachment 2879915
Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?
Nchi ya ajabu sana hii...
Wewe kaza fuvu tu ukitarajia kunafaika na ujuzi wa mwenzakoKuna haja gani ya kuitana Watanzania?.
Tugawane basi nchi kila mmoja ajue anaishije!
Unasoma ili uwe na manufaa yako na kwa Nchi yako na watu wake. Ndiyo maana leo kuna Rais mmoja wa Watanzania wote mzee baba acha kushupaza shingo
Nilimaanisha ukiondoa bidhaa za chuma, Kuna vitu vingine vinaagizwa kutoka nje huku wao wakitoa raw materials kutoka kwetu ambazo hatuzitumii kutengeneza vitu vyetu hapa hapa, mfano PambaSijakuelewa swali lako. Ila elewa kuwa chuma ndiyo baba wa viwanda vyote. Hata ambavyo havitoi bidhaa za chuma.
Nadhani hili ndo jibu sahihi kuliko yoteUDOM hakuna college wanaosoma mambo ya engineering na technology (COET)
ila hata ingekuwepo ingekuwa yale yale tu.
JIBU
Tanzania hatusomi sayansi na technolojia kuanzia primary hadi vyuoni bali tunasoma HISTORY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY 😂😂😂
SO hatuwezi kufanya lolote la maana
View attachment 2879915
Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?
Nchi ya ajabu sana hii...
Zile mashine za ginnery za pamba na spare zake zinaundwa kwa vyuma. Hata mashine za kushona ni za chuma. Moja ya biashara kubwa ambayo Waingereza walifanya wakati wanaanza mapinduzi ya viwanda ilikuwa ni viwanda vya nguo. Waliweza kuunda mashine za kusokota nyuzi.Nilimaanisha ukiondoa bidhaa za chuma, Kuna vitu vingine vinaagizwa kutoka nje huku wao wakitoa raw materials kutoka kwetu ambazo hatuzitumii kutengeneza vitu vyetu hapa hapa, mfano Pamba
Kwa elimu gani isiyokuwa na uhalisia wa maisha ya jamii?. Wasomi ndo mmetufikisha hapa na sisi tutaendelea kuwalaumu mpaka kiama!.Jinsi alivyoikandia elimu ya chuo ni kama anachuki na wasomi waliohitimu elimu ya juu..aina hii ya watu ndio wanaosababisha degree holder wakose uthubutu sababu ya kejeli kama hizi ..hakuna asiyepende kugundua na kusolve matatizo ya jamii yake ili kuleta value ya elimu yake..haya basi ww uliyekuwa mtaani wakati wasomi wanamenyeka kusaka GPA ww umesolve nn au umegudua nn ili kusolve changamoto iliyo katika jamii yako..elimu inaumuhimu wake bana haijalishi imetumikaje hata hao unaowasifia walipita mchakato naamin tutafika siku moja
Mi'niko mkucheka tu😀😀😀😀😀😀.Kweli unakuta mtu hajui kwamba unapokata gogo hutakiwi kusukuuuuuma la. Ni unavuta pumzi nyingii unaitoa, shuuuuush... mambo yanaenda menyewee.
Aani ni kama meditation vile😂😂
Unakuta mtu badala atoke kukata gogo ametabasamu, anatoka amekunja sura utadhani alikuwa anagombana. Ujinga tu.
Halafu usiwashangae hao wa kujisaidia, kitu ambacho unajifunza utotoni ndio hadi ujue. Kuna vitu mtu unazaliwa unafanya lakini watu hawakijui. Kupumua kwa mfano. Wapo watu kibao tu hawajui kupumua. Wengi tu😳. Wengi sana
Mnabisha! Unabisha eeeh!??...... basi ingia Youtube, tazama search 'proper breathing technique' au how to breathe well angalia, elewa: halafu jipe maksi
Sijui nijibu nini😂
How to breathe properly? Huu ni utumwa wa kifikra!Kweli unakuta mtu hajui kwamba unapokata gogo hutakiwi kusukuuuuuma la. Ni unavuta pumzi nyingii unaitoa, shuuuuush... mambo yanaenda menyewee.
Aani ni kama meditation vile[emoji23][emoji23]
Unakuta mtu badala atoke kukata gogo ametabasamu, anatoka amekunja sura utadhani alikuwa anagombana. Ujinga tu.
Halafu usiwashangae hao wa kujisaidia, kitu ambacho unajifunza utotoni ndio hadi ujue. Kuna vitu mtu unazaliwa unafanya lakini watu hawakijui. Kupumua kwa mfano. Wapo watu kibao tu hawajui kupumua. Wengi tu[emoji15]. Wengi sana
Mnabisha! Unabisha eeeh!??...... basi ingia Youtube, tazama search 'proper breathing technique' au how to breathe well angalia, elewa: halafu jipe maksi
Hahahahaaaaah!How to breathe properly? Huu ni utumwa wa kifikra!
Siyo kila kitu unajifanya unajua.
Breathing ni involuntary action na huwezi kujiendesha kupumua.