Hata hiki kidubwasha tunaagiza China!

Mkuu, utengenezaji wa hicho kifaa bado haujaingizwa kwenye mtaala wa kufundishia. Upembuzi yakinifu unaendelea.
 
Hicho ni kitu kikubwa sana,
Toothpick yenyewe tunaagiza China. Haihitaji hata utaalam wowote wala haina mechanism yoyote ile useme hatuwezi kutengeneza.
Changamoto kubwa ni mbili:
1. Low technology

2. Upungufu wa miti inayofaa kutengeneza hivyo vijiti

3. Upungufu wa wafanyakazi

4. Ukosefu wa vifungashio vinavyovutia kama vya Wachina🤸🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani hivyo vijiti vinahitaji technology eee? Uko vizur kwenye ku create points,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…