Hata humu JF kuna majini aisee!!

Nsyuka huu hapa wakuu!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bajeti ya ccm/upinzani inawachanganya au ripoti ya mchanga kesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bajeti ya ccm/upinzani inawachanganya au ripoti ya mchanga kesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siamini kama mkweche wangu ntaanza kuzunguuka nao town kwa madaha bila hofu ya tra!![emoji12] [emoji12]
 
Ha ha ha mkuu Mimi ni jini chuma ulete usiniogope.
Ila daah wewe chizi kweli umefanya hadi ule mchepuko uliokuwa unanizungukia ukimbie kabla sijala hela yake..
Sasa nitakuloga
 
Ha ha ha mkuu Mimi ni jini chuma ulete usiniogope.
Ila daah wewe chizi kweli umefanya hadi ule mchepuko uliokuwa unanizungukia ukimbie kabla sijala hela yake..
Sasa nitakuloga
Nalala na biblia, na nnapoiweka sikwambii! Ukijichanganya tu! Moto lazma ukulipue!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh!!!! Imenibidi nicheke tu aiseee
 
We acha zko una stress zako hko unashindwa kulala halafu unakauja kutisha tisha watu hapa
 
Ha ha ha mkuu Mimi ni jini chuma ulete usiniogope.
Ila daah wewe chizi kweli umefanya hadi ule mchepuko uliokuwa unanizungukia ukimbie kabla sijala hela yake..
Sasa nitakuloga
Jf... Jf... Jf...
Jiandae kwenda kunilimia mashamba yangu ya mpunga
Nimecheka mpaka mkojo unataka kunitoka. Uuuwih!!! Forgive my ribs jamani. Give me a break please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…