mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
- Thread starter
- #41
Nsyuka huu hapa wakuu!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hakuna kitu hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nsyuka huu hapa wakuu!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hakuna kitu hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nsyuka huu hapa wakuu!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Subiri utawaona...mmoja wapo nani?
mpitie na dk. mzizi mkavumshana jr njoo ujionee
Siamini kama mkweche wangu ntaanza kuzunguuka nao town kwa madaha bila hofu ya tra!![emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bajeti ya ccm/upinzani inawachanganya au ripoti ya mchanga kesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
haha haa!Subiri utawaona...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jini sindimba
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenifanya Nicheke ...eti ukimquote tu hulali...
Nadhani Mshana JR hakosi
Nalala na biblia, na nnapoiweka sikwambii! Ukijichanganya tu! Moto lazma ukulipue!Ha ha ha mkuu Mimi ni jini chuma ulete usiniogope.
Ila daah wewe chizi kweli umefanya hadi ule mchepuko uliokuwa unanizungukia ukimbie kabla sijala hela yake..
Sasa nitakuloga
Jiandae kwenda kunilimia mashamba yangu ya mpungaNalala na biblia, na nnapoiweka sikwambii! Ukijichanganya tu! Moto lazma ukulipue!
Jf... Jf... Jf...Ha ha ha mkuu Mimi ni jini chuma ulete usiniogope.
Ila daah wewe chizi kweli umefanya hadi ule mchepuko uliokuwa unanizungukia ukimbie kabla sijala hela yake..
Sasa nitakuloga
Nimecheka mpaka mkojo unataka kunitoka. Uuuwih!!! Forgive my ribs jamani. Give me a break pleaseJiandae kwenda kunilimia mashamba yangu ya mpunga
Unabahati humo kwenye hii list.!!Ya leo kali. Sijawahi waza hii kitu.