Hata humu JF kuna majini aisee!!

Ha ha ha, ila nadhani wako matumbo joto kwa sasa.

Maana Magu hana mchezo.
Magu ni "mwehu" kama aliweza kuwakatisha watu ajira ndani ya siku mbili "vyeti feki" hahahahaha, yaani Ijumaa ulikuwa kazini, Jumamosi majina yakatoka ya wenye vyeti feki, na kwamba Jumatatu hutakiwi ofisini, hahahahahahah"
 
Noma sana mzee yule, ila anawapenda sana Mwanza.

Ila shemeji nimepamiss sana Gold Crest, Alhamis kunakuwaga na Karaoke safi sana watoto wanakuja kuimba.

Basi unainjoi kusikiliza huku unapata jibapa.
 
Majini hawawezi kukuacha hivihivi Bila Kutumia jina LA Yesu

Hilo ndilo jina lipitalo majinA yote
 
Tena wewe ndio utakua jini kali zaidi ya hayo majini menzako uliyoyataja maana siku niliyo quote uzi wako first time niliota ndoto mbaya kuna mijitu ina sura ngumu naibonda na mawe lakini yale mawe ilikuwa kama hayawathiri kitu ilikuwa kama napiga ukuta na mawe
 
Hahahahahah JF bwana ina raha yake sana, usipocheka utanuna ukinuna utacheka tu khaaa nimejikuta nacheka kweli, ni nn kuwaita wenzako majini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…