Unaposema utakwenda kuzuia uchaguzi Mkuu wa kikatiba unaoipatia Jamhuri yetu viongozi wake wakuu kama Rais, Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, Makamu wa Rais, wabunge na madiwani usifanyike maana yake unadhamiria nchi ama iendelee kuongozwa na viongozi batili ambao muda wao kwa mujibu wa katiba umekwisha au nchi isiwe na viongozi kabisa; imeanguka. Ingetokea hivyo ingekuwaje?
Je, wakati mtuhumiwa anasema hayo mbele za watu kuwa anakwenda kukinukisha na kusitisha uchaguzi usifanyike sisi wananchi wa kawaida (wapiga kura) tusingeacha kuogopa maana tusingeweza kuyapuuza maneno yake kwakuwa hatujui angekwenda kutumia njia gani ili kinuke vibaya sana siku ya uchaguzi hadi kumudu kuuzuia uchaguzi usifanyike. Hivyo, Kwavyovyote vile kauli zake zile jukwaani zimeingilia uchaguzi wa oct29 kwakuwa lazima kuna watu hawakwenda kupiga kura Oct29 kwa kuogopa kinachoweza kutokea wakati wa kuzuia uchaguzi usifanyike.
Pili, Lissu ni kiongozi mkuu wa chama chake chenye wafuasi wengi, Hivyo, kuwashawishi wafuasi wake ambao pia ni raia wa nchi hii wasiende kupiga kura ni kosa la kisheria pia; umeingilia uchaguzi wa kikatiba. Hukutaka wanchi watumie utashi wao wa kwenda kupiga kura au wasiende. Yeye alizuia wafuasi wake kuchagua na kuchaguliwa.
Ushahidi kuhusu shitaka hili ulikuwa uko wazi mno kiasi kwamba hata jaji angekuwa mimi ningemkuta na kesi ya kujibu.
Mungu ibariki Tanzania.
Lissu ana misekule mpaka ana uzi wake humu wanamjadili , huyu jamaa mshamba sana , hiyo elimu ya kusema kukinukisha ni harufu nzuri , siwezi kusomesha mwanangu ujinga huo ..Ana nyumbu hao hata akijamba wanafurahi , π π .
Alishapewa nafasi , basi akaona wazungu watamtea , alikimbia nchi hii akarudsihwa ..Leo anajikuta mjanja , kumbe mshamba tu.
Ndo uhaini?Kutishia watu wasiende kupiga kura
Lissu ni mwanasheria nguli, hata aliyokuwa anayasema pale jukwaani alikuwa anafahamu kuwa yalikuwa makosa kisheria, na alijua kuwa atakamatwa. Bahati mbaya kwake ni zile vurugu alizoandaa kushindwa kuzuia uchaguzi kwa 100% na kushindwa kuiangusha serikali. Nadhani hesabu zao zilikuwa vurugu zile ziende kumtoa gerezani alikoshirikiliwa, lakini bahati mbaya zilifeli.Lissu ana misekule mpaka ana uzi wake humu wanamjadili , huyu jamaa mshamba sana , hiyo elimu ya kusema kukinukisha ni harufu nzuri , siwezi kusomesha mwanangu ujinga huo ..Ana nyumbu hao hata akijamba wanafurahi , π π .
Alishapewa nafasi , basi akaona wazungu watamtea , alikimbia nchi hii akarudsihwa ..Leo anajikuta mjanja , kumbe mshamba tu.
Ndo uhaini?
Liweke kwenye hayo makosa matatu hapo juu.Unajua kama watu woote wakikutii wakaacha kwenda kupiga kura kunatokea nini?
Ukiwaza hivyo, siku baadhi ya wananchi wakiacha kwenda kupiga kura au wakienda kwa kiasi kidogo dhidi ya akidi inayotarajiwa/takiwa, wasioenda ni wahaini? Na uhaini umetendeka?Unajua kama watu woote wakikutii wakaacha kwenda kupiga kura kunatokea nini?
mtuhumiwa anawatishia majaji -By Katuga
Kifungu cha 39: Mtu yeyote raia au anayedaiwa kuwa na utii kwa nchi anayefanya vitendo kama kupanga, kujaribu au kufanya njama za kumuua, kumdhuru au kumwondoa Madarakani Rais/Mkuu wa Nchi.Liweke kwenye hayo makosa matatu hapo juu.