Shida Unafikiri sheria ni sawa na kusoma novel.Lissu ana misekule mpaka ana uzi wake humu wanamjadili , huyu jamaa mshamba sana , hiyo elimu ya kusema kukinukisha ni harufu nzuri , siwezi kusomesha mwanangu ujinga huo ..Ana nyumbu hao hata akijamba wanafurahi , 😀 😀 .
Alishapewa nafasi , basi akaona wazungu watamtea , alikimbia nchi hii akarudsihwa ..Leo anajikuta mjanja , kumbe mshamba tu.
Sheria ni Taalum kama ilivyokuwa engineering. Kuna formula zake ukishindwa ku apply hutoboi.
Vielelezo vyote vimekataliwa ikiwemo video yenye maneno hayo. Utamfunga kwa ushahidi upi? Kilichopo ni hearsay. Mahakama haijaiona hiyo video.
Aseme atakinukisha au vipi kama video haipo mahakamani ni sawa na kusema ushahidi huo haupo