Hata kama Jaji ningekuwa mimi Kavulata angekutwa na kesi ya kujibu

Muwe tayari kuleta mashahidi wake
Yaani Rais wetu aache kazi ya kutuhudumia sisi aende akatoe ushahidi mahakamani kwa wito wa mtu aliyetaka kumpindua. Dhihaka gani hii kwa watanzania.
 
Kifungu cha 39: Mtu yeyote raia au anayedaiwa kuwa na utii kwa nchi anayefanya vitendo kama kupanga, kujaribu au kufanya njama za kumuua, kumdhuru au kumwondoa Madarakani Rais/Mkuu wa Nchi.

Majaji sio wajinga kuliko mm ma wewe kwenye sheria.

No reforms no election, tutaasi, tutakwenda kuninukisha vibaya sana Oct29!! Hapo alikuwa hana mipango ya kufanya hayo? yaani alikuwa anaropoka tu asichokijua?. Hebu tuache mahakama iendelee na kazi yake ya kutupatia haki. Msitafute loopholes, jamaa alijipalia makaa mwenyewe kwa hiari yake au kwa kushawishiwa vibaya.

Nchi hii sio ya Samia, ni yetu sisi ambao hatuna hata passport ya kutorokea. Tusikubali mtu aonewe au atuonee. Samia akimaliza muda wake atatuachia nchi yetu na vilivyomo. Hivyo, tusiwe wajinga kumchekea anaeharibu vitu vyetu, tumuue kwa mikono yetu wenyewe ikibidi kama akishupaza shingo.

Hapa unapoongea kwenye uchaguzi/kipind cha uchaguzi kuna vipindi vitatu:
1: Kabla ya uchaguzi- Rais husika yupo madarakani
2: Wakati wa uchaguzi- Rais hayuko madarakani
3: Baada ya uchaguzi- Rais kuchaguliwa

Ni kipindi kipi hapa 1, 2 au 3 no reform no election itamwondoa Rais madarakani?
 
Unaposema utakwenda kuzuia uchaguzi Mkuu wa kikatiba unaoipatia Jamhuri yetu viongozi wake wakuu kama Rais, Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, Makamu wa Rais, wabunge na madiwani usifanyike maana yake unadhamiria nchi ama iendelee kuongozwa na viongozi batili ambao muda wao kwa mujibu wa katiba umekwisha au nchi isiwe na viongozi kabisa; imeanguka. Ingetokea hivyo ingekuwaje?

Je, wakati mtuhumiwa anasema anakwenda kukinukisha na kusitisha uchaguzi usifanyike alifikiria kwanza sisi wananchi wa kawaida (wapiga kura) tungeitikia vipi wito wake ule? Je, alidhani wapigakura tungeyapuuza maneno yake na kwenda kupiga kura kwa wingi? kwakuwa hakuweka wazi atakwenda kukinukisha kwa njia gani siku ya uchaguzi alidhani wapigakura wasingeogopa kwenda kupiga kura? .

Hivyo, Kwavyovyote vile kauli zake zile jukwaani zimeingilia uchaguzi wa oct29 kwakuwa lazima kuna watu hawakwenda kupiga kura Oct29 kwa kuogopa kinachoweza kutokea wakati wa kuzuia uchaguzi usifanyike.

Pili, Lissu ni kiongozi mkuu wa chama chake chenye wafuasi wengi, Hivyo, kuwashawishi wafuasi wake ambao pia ni raia wa nchi hii wasiende kupiga kura ni kosa la kisheria pia; ameingilia uchaguzi wa kikatiba. Hakutaka wanachi watumie utashi wao wa kwenda kupiga kura . Yeye alizuia wafuasi wake kuchagua na kuchaguliwa.

Ushahidi kuhusu shitaka hili ulikuwa uko wazi mno kiasi kwamba hata jaji angekuwa mimi ningemkuta na kesi ya kujibu.

Mungu ibariki Tanzania.
Makosa ya uchaguzi yapo kwenye sheria za uchaguzi.....loop holes
 
'Mahakama hii haiangalii uzito wa ushahidi na kuaminika kwake'
Jaji Ndunguru.
 
Shida yake ni kwamba amesema mwenyewe kuwa amepanga kuasi kama njia ya kupata mabadiliko ya haraka na kweli vurugu za kumuondoa Rais kwa nguvu zilitokea Oct29 kama alivyosema na kuahidi. Vurugu zilipoanza na watu wakaanza kuchoma kila kitu na kuvamia vituo vya polisi sisi wananchi tulijua kuwa ahadi ya Lissu ya kuasi inatekelezwa rasmi. Tuliogopa sana na kila mtu alikuwa na hofu na kila kitu nchini kilisimama hadi masomo na kazi nchi nzima. Hapo shida iko wapi? Unataka ushahidi gani aloo?

Nchi haikosi Rais mpaka Rais mwingine aapishwe. Kwahiyo hakuna siku nchi yetu imewahi kubaki bila Rais. Wewe unaongea vipindi vipi hivyo?
 
Makosa ya uchaguzi yapo kwenye sheria za uchaguzi.....loop holes
Hata akishinda kwa loopholes anakamatwa tena na kushitakiwa upya ili kuunganishwa na oct29. Huyu ameikosea sana Tanzania na watanzania. Amekosea kuchoma mali za watanzania, hizi ni zetu sisi sio za Samia.
 
Hili dishi halijui hata limeandika nini linaendeshwa na mihemko
Actually alichonikosea mimi ni kuharibu mali zetu watanzania wakati yeye anadai haki yake, baasi. Namchukia mtu yeyote anaetuibia sisi . Hata siku nikibaini na kuthibitika kuwa Rais anatuibia nitamchukia milele.
 
Kifungu cha 39: Mtu yeyote raia au anayedaiwa kuwa na utii kwa nchi anayefanya vitendo kama kupanga, kujaribu au kufanya njama za kumuua, kumdhuru au kumwondoa Madarakani Rais/Mkuu wa Nchi.
Huu ndiyo ugaidi... Sasa Lissu kafanya kipi kati ya hayo?
 
'Mahakama hii haiangalii uzito wa ushahidi na kuaminika kwake'
Jaji Ndunguru.
Ukiangalia uzito wa ushahidi wakati nchi imechomwa kweli na vurugu za uasi zimetokea kweli kama vilevile alivyosema Lissu tutakuwa wajinga sana nchi nzima. Loopholes za kipuuzi za kisheria tutaziziba sisi wenyewe.

Nadhani alikosea kusema wataasi siku ya uchaguzi, angeacha vurugu zitokee zenyewe kuliko kisema halafu vikatokea kama vikevile alivyotutangazia.
 
Huu ndiyo ugaidi... Sasa Lissu kafanya kipi kati ya hayo?
Hujui alichofanya? Kinachomsumbua Lissu ni kutamka hadharani kuwa wataasi na kusitisha uchaguzi. Lissu ni mwenyekiti wa chadema, wakili na mbunge mstaafu. Hivyo, nafasi na kauli yake vinatosha kabisa kuwashawishi wafuasi wake wamtii na kutekeleza alichoagiza kifanyike siku ya uchaguzi. Na bahati mbaya baada ya maagizo yale ya kuasi siku ya uchaguzi hakuwahi kutoa maagizo mengine ya kufuta maagizo yake ya awali ya kuwataka wafuasi wake kuasi na kukinukisha siku ya uchaguzi.

Swali ni Nini yatakuwa matokeo ya maagizo ya kuasi, kukinukisha na kuzuia uchaguzi wa Oct29, 2025 usifanyike kama yakitekelezwa kama yalivyokusudiwa?

Majibu ya swali hili yangekuwa kati ya haya:
1. Uchaguzi usipofanyika uongozi uliopo ungeendelea kubaki madarakani kinyume na Katiba
2. Vurugu zingeiangusha serikali iliyopo na kupata viongozi wapya waliotokana na waliofanya vurugu.
3. Nchi ingebaki bila kiongozi mkuu na viongozi wengine kwa muda

Majibu yote haya hapo juu ni UHAINI
 
Hakuna Sheria duniani ya kuhukumu dhana. Mimi Leo nikisema nitaua mtu kama nisipolipwa hela yangu.. Kwa ivo wewe utanishtaki kwa mauaji?

Umesikia Jaji Ndunguru alichosema. Hakuna ushahidi wenye uzito wala kuaminika uliowashilishwa mahakamani.
 
Lissu ana misekule mpaka ana uzi wake humu wanamjadili , huyu jamaa mshamba sana , hiyo elimu ya kusema kukinukisha ni harufu nzuri , siwezi kusomesha mwanangu ujinga huo ..Ana nyumbu hao hata akijamba wanafurahi , 😀 😀 .

Alishapewa nafasi , basi akaona wazungu watamtea , alikimbia nchi hii akarudsihwa ..Leo anajikuta mjanja , kumbe mshamba tu.
Kama Serikali ipo sahihi kwanini inatumia nguvu kubwa kupigana nae
 
Tujifunze:
Nchini Tanzania, Sheria ya Uhaini inapatikana chini ya Kanuni za Adhabu (Penal Code, Sura ya 16 ya Sheria za Tanzania), katika Sura ya VII (Chapter VII) na pia inatambuliwa chini ya Ibara ya 28 ya Katiba ya Muungano wa Tanzania.

Sheria na Makosa ya Uhaini ( vifungu vya Penal Code)

  • Uhaini (Treason) - Kifungu cha 39: Mtu yeyote raia au anayedaiwa kuwa na utii kwa nchi anayefanya vitendo kama kupanga, kujaribu au kufanya njama za kumuua, kumdhuru au kumwondoa Madarakani Rais/Mkuu wa Nchi; kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano; au kuwezesha/kusaidia maadui wa taifa wakati wa vita. Adhabu ya kosa hili ni kifo.

  • Makosa ya Kiuhaini-uhaini (Treasonable Offences) - Kifungu cha 40: Nia au mipango inayodhihirishwa kwa vitendo vya wazi (overt acts) ya kutaka kupindua serikali au kuilazimisha serikali kubadili sera zake kwa kutumia nguvu na silaha.

  • Kuficha Taarifa za Uhaini (Misprision of Treason) - Kifungu cha 41: Mtu yeyote anayejua kuwa kuna mtu anapanga au anafanya kosa la uhaini lakini asitoe taarifa haraka kwa mamlaka husika (kama Polisi, Hakimu au Mkuu wa Wilaya) au kutochukua hatua za kuzuia. Adhabu yake ni Kifungo cha maisha jela.
Mwamba umenyoosha maelezo uko vizuri
 
Unaposema utakwenda kuzuia uchaguzi Mkuu wa kikatiba unaoipatia Jamhuri yetu viongozi wake wakuu kama Rais, Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, Makamu wa Rais, wabunge na madiwani usifanyike maana yake unadhamiria nchi ama iendelee kuongozwa na viongozi batili ambao muda wao kwa mujibu wa katiba umekwisha au nchi isiwe na viongozi kabisa; imeanguka. Ingetokea hivyo ingekuwaje?

Je, wakati mtuhumiwa anasema anakwenda kukinukisha na kusitisha uchaguzi usifanyike alifikiria kwanza sisi wananchi wa kawaida (wapiga kura) tungeitikia vipi wito wake ule? Je, alidhani wapigakura tungeyapuuza maneno yake na kwenda kupiga kura kwa wingi? kwakuwa hakuweka wazi atakwenda kukinukisha kwa njia gani siku ya uchaguzi alidhani wapigakura wasingeogopa kwenda kupiga kura? .

Hivyo, Kwavyovyote vile kauli zake zile jukwaani zimeingilia uchaguzi wa oct29 kwakuwa lazima kuna watu hawakwenda kupiga kura Oct29 kwa kuogopa kinachoweza kutokea wakati wa kuzuia uchaguzi usifanyike.

Pili, Lissu ni kiongozi mkuu wa chama chake chenye wafuasi wengi, Hivyo, kuwashawishi wafuasi wake ambao pia ni raia wa nchi hii wasiende kupiga kura ni kosa la kisheria pia; ameingilia uchaguzi wa kikatiba. Hakutaka wanachi watumie utashi wao wa kwenda kupiga kura . Yeye alizuia wafuasi wake kuchagua na kuchaguliwa.

Ushahidi kuhusu shitaka hili ulikuwa uko wazi mno kiasi kwamba hata jaji angekuwa mimi ningemkuta na kesi ya kujibu.

Mungu ibariki Tanzania.
Hivi akifungwa maana ake ,Neno kukinukisha linakua ni kosa kisheria kulitamka?
 
Actually alichonikosea mimi ni kuharibu mali zetu watanzania wakati yeye anadai haki yake, baasi. Namchukia mtu yeyote anaetuibia sisi . Hata siku nikibaini na kuthibitika kuwa Rais anatuibia nitamchukia milele.
Kwa mujibu wa Raisi "Waliofanya vurugu ni raia wa nje"
 
Back
Top Bottom