Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.
Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?
Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
Akili ndogo sana hizi japo utaishia kunitukana tu kwakuwa uliumbwa hivyo
magufuli hakuwa anajenga miradi kwa pesa zake wala za wasukuma wenzake, ni zetu sisi kama walipa kodi sijui wewe kama unalipa.
mama anamalizia miradi kwa pesa zetu tatizo lipo wapi sasa. yaani una kerwa nanini?
kuna daraja la wami limejengwa limeisha plan ilikuwepo tangu enzi za mwinyi. chizi kaliacha mama kamalizia na miradi mingine. MLIOMBA ASHINDWE ILI MUPATE YA KUSEMA? MAMA ANAWAUMBUA
Kalifufueni lile chizi lenu mzikwe nyie...
MUNGU HAKUTAKA TZ IWE CHINI YA DICTATOR UCHWARA
ACHA KUWEWESEKA
Pumbavu unafikiri kwa kutumia mavi. Kwa nini Nyerere, Mkapa Mwinyi na Jakaya hawakutekeleza.
nilijuwa ungenitukana sishangai huondiyo uwezo wako wa kufikiri na ndivyo ulivyolelewa
mkapa/mwinyi = Daraja la Mkapa , pale Rufiji watu walikuwa wanaliwa na mamba unajua hivyo?
Kikwete= Daraja la Malagalasi, Kiiosa lile la mto Ruvuma nk
Mkapa amefanya mengi lakini hakuwa anatangaza
jakaya alifanya mengi lakini hakuwa anatangaza
wakati wa chizi TBC kulikuwa na vipindi vingapi vya matangazo ya miradi?
serikali duniani kote hurithishana miradi siyo zambi
ulitaka samia anzishe mingine kwa pesa zipi na kwa faida ya nani
tumia akili usitukane watu haitakusaidia kuelewa mambo
wewe ni kakiazi kadogo sana