Hata kama kazi inaendelea. Mbona hatuoni miradi mkakati mipya zaidi ya kujikongoja kumalizia miradi aliyoasisi Hayati Magufuli?

Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.

Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?

Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
PUMZI PUMZI MKUU INAKATA
 
Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.

Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?

Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
Sukuma gang mna shida sana,miradi iko mingi Sana miongoni mwao ni 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221101-211629.png
    Screenshot_20221101-211629.png
    90.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221029-214659.png
    Screenshot_20221029-214659.png
    158.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221025-120612.png
    Screenshot_20221025-120612.png
    191.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221025-140933.png
    Screenshot_20221025-140933.png
    128.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221014-211708.png
    Screenshot_20221014-211708.png
    215.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221005-104854.png
    Screenshot_20221005-104854.png
    210.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221016-232945.png
    Screenshot_20221016-232945.png
    324.5 KB · Views: 2
Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.

Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?

Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
JamiiForums1856819424.gif
 
Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.

Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?

Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
Akili ndogo sana hizi japo utaishia kunitukana tu kwakuwa uliumbwa hivyo
magufuli hakuwa anajenga miradi kwa pesa zake wala za wasukuma wenzake, ni zetu sisi kama walipa kodi sijui wewe kama unalipa.
mama anamalizia miradi kwa pesa zetu tatizo lipo wapi sasa. yaani una kerwa nanini?
kuna daraja la wami limejengwa limeisha plan ilikuwepo tangu enzi za mwinyi. chizi kaliacha mama kamalizia na miradi mingine. MLIOMBA ASHINDWE ILI MUPATE YA KUSEMA? MAMA ANAWAUMBUA
Kalifufueni lile chizi lenu mzikwe nyie...
MUNGU HAKUTAKA TZ IWE CHINI YA DICTATOR UCHWARA
ACHA KUWEWESEKA
 
Pumbavu unafikiri kwa kutumia mavi. Kwa nini Nyerere, Mkapa Mwinyi na Jakaya hawakutekeleza.
 
nilijuwa ungenitukana sishangai huondiyo uwezo wako wa kufikiri na ndivyo ulivyolelewa
mkapa/mwinyi = Daraja la Mkapa , pale Rufiji watu walikuwa wanaliwa na mamba unajua hivyo?
Kikwete= Daraja la Malagalasi, Kiiosa lile la mto Ruvuma nk
Mkapa amefanya mengi lakini hakuwa anatangaza
jakaya alifanya mengi lakini hakuwa anatangaza
wakati wa chizi TBC kulikuwa na vipindi vingapi vya matangazo ya miradi?
serikali duniani kote hurithishana miradi siyo zambi
ulitaka samia anzishe mingine kwa pesa zipi na kwa faida ya nani
tumia akili usitukane watu haitakusaidia kuelewa mambo
wewe ni kakiazi kadogo sana
 
Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.

Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?

Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?

Nikusahihishe, hiyo miradi haikuwa ya magufuli Bali ya dira ya serikali. Vission 2025. Hivyo Magufuli alikuwa anatekeleza mipango ya serikali.
 
U
Pumbavu unafikiri kwa kutumia mavi. Kwa nini Nyerere, Mkapa Mwinyi na Jakaya hawakutekeleza.

UDSM imejengwa na Nani? Mzumbe? Sokoine?, UDOM?. Usiteme big G kwa karanga za kuonjesha. Wakati Mkapa anazikwa ndipo watu walijua kwamba kumbe mkapa alifanya mengi Sana kwenye nchi hii. Tuache kujimwambafy kwa vitu vidogo Kuna watu wamejenga legacy kwenye nchii hii, tuheshimiane.
 
24 years akiwa madarakan hakuwah kujenga shule hata moja kilwa . kilwa kulikuwa na tatizo gani kwa mzalendo mpaka asijenge hata shule moja tu ndani ya utawala wake

Huwezi kumaliza kila kitu kwa siku moja. Halafu sidhani kama Ni kweli Kilwa yote haikuwa na shule.
 
Fatilia history ni kweli kabisa hauwezi kumaliza kila kitu ndani ya siku hata Mzee Alhaj Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema. roma haikujengwa kwa siku moja .

ila mzee 24 years hakuna shule ndani ya 24 years kuna siku ngap hapo
 
Cha kwanza jiulize miaka 5 ya mwanzo ni mradi gani alifanikisha?
 
Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.

Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?

Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
Hukuona kipenzi cha Mama anagawa mitungi ya gesi mkuuu

Kwani huo sio miradi????😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🏋️‍♂️🏋️‍♀️🏋️‍♂️🏋️‍♀️🏋️‍♂️🏋️‍♀️🤐
 
Back
Top Bottom