Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa..... Mimi ndo mume.Tupe mbinu, huwa unampa mumeo gari , na watoto gari yao na wewe unakuwa na ya kwako?
chukua maua yako, maisha ni mpango wa Mungi, amekufa Magu mwenye ulinzi kuliko Obama, amekufa Moi, Sokoine kwa ajali na wengineo,Mnaweza kusafiri tofauti na wote mkapotea kwa muda tofauti tofauti
Mnaweza panda magari tofauti na yote yakapata ajali,watu wanajilisha upepo tu!Mnaweza kusafiri tofauti na wote mkapotea kwa muda tofauti tofauti
Anza kusevu hata laki 1 Kila mwezi Kwa mwaka ni milion 1.2Uaishi Mtwara, kwenu Bukoba, mmechukua likizo na mnapaswa kusafiri mwezi wa 12, una ki VANGUARD chako cha mkopo, hapo mtafanyaje?
Nilisubiri comment kama hii sasa moyo wangu umepata amani , ubarikiwe na wanao siku ya leoAjali ni ajali tu, Kikubwa uwe umempa Yesu maisha yako, ukifa uende mbinguni, duniani tunapita.
Mkuu haya mambo ni ya kuomba sana Mungu akuepushe..Wee mm naenda likizo niache kwenda na wanangu kwenye gari yao wakapande bus. Cha msingi ivunje safari kwa km 500 kila sikuusisafiri moja kwa moja tumia siku 2 ama 3 kama ni mbali sana
Daima ningejua huja baada ya maafa.Hizi ni juhudi zetu wanadamu hasa tunapofikwa na mambo magumu na yenye kuumiza mioyo yetu....
Lakini kiimani kila mja ataondoka kwa wakati wake.....na wakati wake ukifika haijalishi mko pamoja au mpo mbali mbali bali ataondoka......kila mja ataishi na kurudhukiwa kwa kadri alivyokadiriwa.......kuanzia uhai mpaka ridhiki.......
Hekima na busara sio kuogopa kifo bali ni kujiandaa na maisha baada ya kifo kwa kuyazingatia maarisho yake na kukaa mbali na aliyoyakataza.....
Mungu atujaalie mwisho mwema kwenye maisha yetu.......
IJUMAA KAREEM......
IlikuwajeKuna aliyekuwa boss wangu mzungu aliiuwa akirudi kwao na familia hawapandi ndege moja
Wewe watoto wako wote wakifa pamoja siyo shida Mkuu?Kwani mkifa wote kwa pamoja shida iko wapi?