Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

Hofu yako tu nishafanya hivyo mara tatu kikubwa nnachozingatia ni mwendo tu sivuki 120 speed naenjoy na familia vizuri
 
Kama bado ninakumbuka sawasawa hata kuzuiwa kwa safari za usiku kulitokana na ajali kadhaa na mojawapo ni ile ya familia moja kupata ajali wakiwa na PIJO "FAIVUFOO" PEUGEOT 504 huko MOSHI.....
WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS MH. SAMUEL MALECELELA alituma salam za rambirambi (kwenye gazeti la UHURU pamoja na MFANYAKAZI kulikuwa na habaei picha)
 
Back
Top Bottom