Duh!Kumbe mtu hawezi kuishi kwa mkate tu,hata gongo ni mswano gwegwe?Kuna Baba Mmoja jirani yangu hapa juzi, katoka kwao Mbulu kwenye kilimo basi katika maongezi yanayohusu kilimo huko alikotoka Kuna jambo kidogo lilinishangaza sana na kufanya siku yangu yote kuharibika.
Ni hivi huyu bwana mara ya mwisho kutoka hapa kwenda huko kwao kwenye kilimo Kwa maelezo yake alikuwa na nauli ya kwenda TU na ilikuwa msimu wa kulima Sasa nikamuuliza, je vibarua hao wanaolima aliwalipa nini wakati alikuwa Hana pesa nyingine?
Alichonijibu ni hiki; kule kwao Yan sehemu kubwa ya maisha ya huko au utamaduni unaotumika kuwalipa vibarua ni kuwanunulia Gongo kwenye galoni ya Lita 5 au kitoto ndoo Cha Gongo kulingana na ukubwa wa shamba na wingi wa vibarua,
Huko shambani ambapo watafanya kazi kuanzia Asubuhi Hadi jioni Kwa ujira wa kunywa Gongo TU tena wakiwa huko huko shambani .
Hakuna malipo mengine wala chakula watakachopewa huko shambani au baada ya kumaliza kazi aidha ya kulima ,kupalilia au kuvuna. Na Maisha yanaendelea kama kawaida.
Je waungwana Kwa aina hii ya malipo je ni ubinadamu? Hata kama mtu atasema si wamekubali wenyewe je kiubinadamu ni sawa? Hata kama mtu ni maskini ndo umtese kiasi hicho jamani 🥲?
Unaweza kukuta gongo yao ina viini lishe na virutubisho anuai.Huwezi jua maendeleo yao katika sayansikimu mkuu.Hatari sana
Nusura niandike wasukuma ila simu imeishiwa wino.Hii ishakua kama utamaduni kwa jamii fulani unakutana wanaalikana katika kulima shamba la mtu so baada ya pale wanapongezwa kwa chakula tu ila sasa hii ya gongo ni mbaya sana
Ni manyarubanja na watumwa wao.Hawafai duniani hata mbinguni.Kwa dunia ya leo, watu wanaroho mbaya sana, tena linapokuja swala la masilahi mtu hatojali kama unaumia, unaadhirika au vip, anachojal yeye ni yeye kupata faida, kuneemeka, hayo mengne utajua wew! Siku hz watu hawajal ubinadam, wanatanguliza masirah yao mbele!
😁 wanakusikia na kukutazama tuNusura niandike wasukuma ila simu imeishiwa wino.
Kiukweli hata kama ni chakula pekee utampa lakini Bado pesa Ina sehemu yake jamani
Hii ishakua kama utamaduni kwa jamii fulani unakutana wanaalikana katika kulima shamba la mtu so baada ya pale wanapongezwa kwa chakula tu ila sasa hii ya gongo ni mbaya sana
Akina nani? Wasukuma? Mbona mimi sijawataja gete?😁 wanakusikia na kukutazama tu
Afadhali umefika mtetezi.Gongo kama gongo?Mmmmhfff!Nimeishi Mbulu nimeona malipo ya hao watu hua ni pesa, siyo gongo.
Sasa Mbulu ni kubwa. Muulize ni Mbulu ndiyo ila kijiji gani?
Bushmamy shukuru jinsi yako, maana ungekuwa kama siye, hapa JF wangalikurarua ukajuta kuzaliwa. Mtu alime tangu asubuhi hadi jioni bila kula halafu anywe gongo, si atauona ufalme wa mbinguni siku hiyo?Kuna Baba Mmoja jirani yangu hapa juzi, katoka kwao Mbulu kwenye kilimo basi katika maongezi yanayohusu kilimo huko alikotoka Kuna jambo kidogo lilinishangaza sana na kufanya siku yangu yote kuharibika.