Huko mbulu sijawahi fika ila Babati na Kiteto nimefika wenyeji kwa sehemu kubwa ni wale wale na mazingira ya kilimo hayatofautiani sana, mtu huwezi kwenda na nauli tu ukatoboa kirahis piga hesabu rahis tu.Mtoa mada aizingatie hii comment
Kilimo ni gharama sana.Wee jamaa Una akili sana
Hakika unastahili pongezi.
Dunia hii umfanyishe kazi usimlipe.ni uongo
Umeambiwa walimaji wamesema wao hawataki pesa wanataka gongo rudia kusoma tena kuanzia mwanzoNimeishi Mbulu nimeona malipo ya hao watu hua ni pesa, siyo gongo.
Sasa Mbulu ni kubwa. Muulize ni Mbulu ndiyo ila kijiji gani?
Yes, hana kosa, wanywa gongo kama wanaona gongo haitoshi kama malipo ya kazi ngumu ya kulima siku nzima, waache kulima shamba, huyo mzee atalazimika kutafuta pesa ya kuwalipa.Jamani, 😞 Hilo ndo jibu alilonipa Mkuu
Hahaha ndio gongo tu inaziba kila kitu hapo ila gongo sio bure inauzwa na aiuzwi bei rahisi km mnavyofikiria nyie kidumu cha lita 5 cha gongo unaijua bei yake?Kwel haya hizo gharama zote ziwe covered na Gongo?
Hiyo hata kama kuna sehemu inacover ni sehemu ndogo sana, ila mchakato mzima wa kuanzia maandalizi kilimo chenywe hadi kufikisha sokoni hiyo gongo haitoboi mzee.Hahaha ndio gongo tu inaziba kila kitu hapo ila gongo sio bure inauzwa na aiuzwi bei rahisi km mnavyofikiria nyie kidumu cha lita 5 cha gongo unaijua bei yake?
Hahaha. Hata mimi nimeshangaa anaamini story yenye ukakasi kama hiyo.Watu hawatoi code za maisha yao!na wewe ukamwamini?
Kampoteza maboyaHahaha. Hata mimi nimeshangaa anaamini story yenye ukakasi kama hiyo.
Mleta uzi hajaambiwa ukweli. Hakuna sehemu mtu atalima usimpe hela. Kwa huko Mbulu hiyo gongo itakuwa ni bonus ya kuwahamasisha wapige kazi. Sehemu pekee ninayojua kuna watu hulipwa gongo kama mshahara ni sehemu kunapopikwa gongo. Yule mchota maji malipo yake huwa gongo.Watu hawatoi code za maisha yao!na wewe ukamwamini?
Huyo chota maji si atakuwa mraibu jamani?Mleta uzi hajaambiwa ukweli. Hakuna sehemu mtu atalima usimpe hela. Kwa huko Mbulu hiyo gongo itakuwa ni bonus ya kuwahamasisha wapige kazi. Sehemu pekee ninayojua kuna watu hulipwa gongo kama mshahara ni sehemu kunapopikwa gongo. Yule mchota maji malipo yake huwa gongo.
nimeona mnanitafuta muda mrefu sana!
Dada ake umeamkaje nakusalimunimeona mnanitafuta mud mefu sana!
marahaba dogo vp?Dada ake umeamkaje nakusalimu