Hata kama ni umaskini lakini jamani tuwe na Ubinadamu

Ni Yale Yale tu, ni Sawa na kufanya Kazi ya ualimu halafu mshahara ukamalizia kwenye pombe. Hapo tofauti Ni Uhuru tu, mmoja amepewa pombe mwingine amepewa pesa akachague mwenyewe.
 
Kuna Baba Mmoja jirani yangu hapa juzi, katoka kwao Mbulu kwenye kilimo basi katika maongezi yanayohusu kilimo huko alikotoka Kuna jambo kidogo lilinishangaza sana na kufanya siku yangu yote kuharibika.

Ni hivi huyu bwana mara ya mwisho kutoka hapa kwenda huko kwao kwenye kilimo Kwa maelezo yake alikuwa na nauli ya kwenda TU na ilikuwa msimu wa kulima Sasa nikamuuliza, je vibarua hao wanaolima aliwalipa nini wakati alikuwa Hana pesa nyingine?

Alichonijibu ni hiki; kule kwao Yan sehemu kubwa ya maisha ya huko au utamaduni unaotumika kuwalipa vibarua ni kuwanunulia Gongo kwenye galoni ya Lita 5 au kitoto ndoo Cha Gongo kulingana na ukubwa wa shamba na wingi wa vibarua,

Huko shambani ambapo watafanya kazi kuanzia Asubuhi Hadi jioni Kwa ujira wa kunywa Gongo TU tena wakiwa huko huko shambani .

Hakuna malipo mengine wala chakula watakachopewa huko shambani au baada ya kumaliza kazi aidha ya kulima ,kupalilia au kuvuna. Na Maisha yanaendelea kama kawaida.

Je waungwana Kwa aina hii ya malipo je ni ubinadamu? Hata kama mtu atasema si wamekubali wenyewe je kiubinadamu ni sawa? Hata kama mtu ni maskini ndo umtese kiasi hicho jamani 🥲?

Watu wazima wamekubaliana. Hakuna aliyeshurutishwa.
Utu gani tena unataka?

Sio Kila binadamu unayemuona ni Mtu.
Binadamu kibaolojia ni Mnyama.
Binadamu anahiyari ya kuchagua kuwa Mnyama au kuwa MTU

Tunapojadili swala la UTU ni suala Pana Sana ambalo wengi hawana uelewa nalo
 
Umeambiwa walimaji wamesema wao hawataki pesa wanataka gongo rudia kusoma tena kuanzia mwanzo
Ila wewe bwana.
Mtu katoka mkoa mwingine kwenda Mbulu akiwa na nauli ya kwenda tu kwakua vibarua wanataka gongo tu.

Logically, inamaanisha huyu alitoka akiwa na nauli tu kwavile malipo ya vibarua wa Mbulu hua ni gongo tu. Siyo kwamba aliongea nao kabla hajaenda ni kwavile anajua malipo ni hayo.

Soma tena alichoandika ili uelewe kwanini niliandika vile
 
Huyo Baba jirani yako,na yeye alikua anashindia gongo tu au yeye alikua anakula chakula?
Ungemuuliza hilo swali,

Kwa ujira huo wa gongo,ipo siku atawakosa kabisa hao wasaidizi,iwe wamepata maradhi au kufariki,watu hufikiria leo tu na sio kesho!

Watu wanaokusaidia lazima uangalie afya zao ili wawe na afya njema ili waendelee kukusaidia na mwaka ujao,ujira wa gongo ni sawa na kumpa sumu mtu anayekusaidia kazi zako.
😆😂❤️😄😃😍♥️😊😒🙆‍♂️🙅‍♂️😅😅😁
 
Sio lazima uangalie hizo afya zao watu walioamua kujiharibu.

Kuna watu wanalipwa hizo pesa na zote wanazipeleka kwenye gongo au matumizi mengine yasiyofaa ikiwemo madawa ya kulevya na vilevi.

Wapo wanalipwa pesa wanazitumia kulaghai vibinti vya watu, kuingilia ndoa za watu,
Ni Bora hao wameamua moja wajiharibu wenyewe. Wakifa dunia haiishi watu wa Aina hiyo. Watapatikana tuu ilimradi watu wanazaa.

Ninachotaka kusema watu walioamua maisha ya ajabu njia sahihi ya kuwasaidia ni kuwatumia kujiingizia kipato. Hiyo ni Kanuni.

Ndio maana watu wenye akili hutumia maamuzi ya wengine kujinufaisha.
Mfano mtu ameamua kuongeza makalio wewe unachofanya nu kugundua dawa unawauzia.

Hivyo ndivyo dunia ilivyo.
Ilimradi humlazimishi MTU mzima
 
Ulimwengu wa kibepari wa kibongo ndivyo ulivyo, no mercy...ilimradi haili kwake basi Hana shida, ile compassion TZ hatuna, as long as haimdhuru yeye binafsi basi anatulia zake...Hao walevi nao ni wapuuzi, ni Bora usiwe na kazi basi kama malipo yenyewe ni gongo, Tatizo arosto.
 
Kuna Baba Mmoja jirani yangu hapa juzi, katoka kwao Mbulu kwenye kilimo basi katika maongezi yanayohusu kilimo huko alikotoka Kuna jambo kidogo lilinishangaza sana na kufanya siku yangu yote kuharibika.

Ni hivi huyu bwana mara ya mwisho kutoka hapa kwenda huko kwao kwenye kilimo Kwa maelezo yake alikuwa na nauli ya kwenda TU na ilikuwa msimu wa kulima Sasa nikamuuliza, je vibarua hao wanaolima aliwalipa nini wakati alikuwa Hana pesa nyingine?

Alichonijibu ni hiki; kule kwao Yan sehemu kubwa ya maisha ya huko au utamaduni unaotumika kuwalipa vibarua ni kuwanunulia Gongo kwenye galoni ya Lita 5 au kitoto ndoo Cha Gongo kulingana na ukubwa wa shamba na wingi wa vibarua,

Huko shambani ambapo watafanya kazi kuanzia Asubuhi Hadi jioni Kwa ujira wa kunywa Gongo TU tena wakiwa huko huko shambani .

Hakuna malipo mengine wala chakula watakachopewa huko shambani au baada ya kumaliza kazi aidha ya kulima ,kupalilia au kuvuna. Na Maisha yanaendelea kama kawaida.

Je waungwana Kwa aina hii ya malipo je ni ubinadamu? Hata kama mtu atasema si wamekubali wenyewe je kiubinadamu ni sawa? Hata kama mtu ni maskini ndo umtese kiasi hicho jamani 🥲?
kwenu musoma sehemu gani mkuu.
 
Sio lazima uangalie hizo afya zao watu walioamua kujiharibu.

Kuna watu wanalipwa hizo pesa na zote wanazipeleka kwenye gongo au matumizi mengine yasiyofaa ikiwemo madawa ya kulevya na vilevi.

Wapo wanalipwa pesa wanazitumia kulaghai vibinti vya watu, kuingilia ndoa za watu,
Ni Bora hao wameamua moja wajiharibu wenyewe. Wakifa dunia haiishi watu wa Aina hiyo. Watapatikana tuu ilimradi watu wanazaa.

Ninachotaka kusema watu walioamua maisha ya ajabu njia sahihi ya kuwasaidia ni kuwatumia kujiingizia kipato. Hiyo ni Kanuni.

Ndio maana watu wenye akili hutumia maamuzi ya wengine kujinufaisha.
Mfano mtu ameamua kuongeza makalio wewe unachofanya nu kugundua dawa unawauzia.

Hivyo ndivyo dunia ilivyo.
Ilimradi humlazimishi MTU mzima
Comment yako imetawaliwa na Selfishness,

Wewe walipe hela zao,wao ndio wataamua hizo hela watazitumia vipi kuliko kuwapo gongo,hapo unakua umehusika direct kuwalisha sumu,
Halafu tambua kua Gongo ni pombe haramu,so hili ni kosa kisheria,
Ina maana wewe ukiona mtu anahatarisha afya yake,huna jukumu la kumpa tahadhari kisa hakuhusu au haina madhara kwako?

Huwezi kumtumbukiza kwenye majanga binadamu mwenzako kisa eti wapo binadamu wengine wanazaliwa na utawatumia,
Kila binadamu ni unique.
 
Back
Top Bottom