Nyani wa Somanga
JF-Expert Member
- Jan 21, 2026
- 415
- 573
Tujitaidi kuchakata habari kabla ya kuileta humu, hii habari ni ya uongo na ni ya upotoshaji.Kuna Baba Mmoja jirani yangu hapa juzi, katoka kwao Mbulu kwenye kilimo basi katika maongezi yanayohusu kilimo huko alikotoka Kuna jambo kidogo lilinishangaza sana na kufanya siku yangu yote kuharibika.
Ni hivi huyu bwana mara ya mwisho kutoka hapa kwenda huko kwao kwenye kilimo Kwa maelezo yake alikuwa na nauli ya kwenda TU na ilikuwa msimu wa kulima Sasa nikamuuliza, je vibarua hao wanaolima aliwalipa nini wakati alikuwa Hana pesa nyingine?
Alichonijibu ni hiki; kule kwao Yan sehemu kubwa ya maisha ya huko au utamaduni unaotumika kuwalipa vibarua ni kuwanunulia Gongo kwenye galoni ya Lita 5 au kitoto ndoo Cha Gongo kulingana na ukubwa wa shamba na wingi wa vibarua,
Huko shambani ambapo watafanya kazi kuanzia Asubuhi Hadi jioni Kwa ujira wa kunywa Gongo TU tena wakiwa huko huko shambani .
Hakuna malipo mengine wala chakula watakachopewa huko shambani au baada ya kumaliza kazi aidha ya kulima ,kupalilia au kuvuna. Na Maisha yanaendelea kama kawaida.
Je waungwana Kwa aina hii ya malipo je ni ubinadamu? Hata kama mtu atasema si wamekubali wenyewe je kiubinadamu ni sawa? Hata kama mtu ni maskini ndo umtese kiasi hicho jamani 🥲?
Nakuelewa mkuu,ngoja tuendelee kuishiKuthamini utu Kwa mtu asiye na utu ni kupoteza resources. Wenye Akili huona hiyo kama fursa kujinufaisha.
Comment yako imetawaliwa na Selfishness,
Wewe walipe hela zao,wao ndio wataamua hizo hela watazitumia vipi kuliko kuwapo gongo,hapo unakua umehusika direct kuwalisha sumu,
Halafu tambua kua Gongo ni pombe haramu,so hili ni kosa kisheria,
Ina maana wewe ukiona mtu anahatarisha afya yake,huna jukumu la kumpa tahadhari kisa hakuhusu au haina madhara kwako?
Huwezi kumtumbukiza kwenye majanga binadamu mwenzako kisa eti wapo binadamu wengine wanazaliwa na utawatumia,
Kila binadamu ni unique.
si ndio 🤪Kwenye Taji
Rudi ukasome upya kuanzia mwanzo kasema vibarua walichotaka awape ni gongo sio pesa na gongo sio ya bure inanunuliwa kwa maana hio hapo hapo kwenye kodumu ka lita 5 wanakadiriana vikombe wanajua kila kikombe kimoja cha gongo bei gani?Ila wewe bwana.
Mtu katoka mkoa mwingine kwenda Mbulu akiwa na nauli ya kwenda tu kwakua vibarua wanataka gongo tu.
Logically, inamaanisha huyu alitoka akiwa na nauli tu kwavile malipo ya vibarua wa Mbulu hua ni gongo tu. Siyo kwamba aliongea nao kabla hajaenda ni kwavile anajua malipo ni hayo.
Soma tena alichoandika ili uelewe kwanini niliandika vile
Hapo kuna mambo ya kikazi na stahiki za wafanyakazi hazipo sawa.Kuna Baba Mmoja jirani yangu hapa juzi, katoka kwao Mbulu kwenye kilimo basi katika maongezi yanayohusu kilimo huko alikotoka Kuna jambo kidogo lilinishangaza sana na kufanya siku yangu yote kuharibika.
Ni hivi huyu bwana mara ya mwisho kutoka hapa kwenda huko kwao kwenye kilimo Kwa maelezo yake alikuwa na nauli ya kwenda TU na ilikuwa msimu wa kulima Sasa nikamuuliza, je vibarua hao wanaolima aliwalipa nini wakati alikuwa Hana pesa nyingine?
Alichonijibu ni hiki; kule kwao Yan sehemu kubwa ya maisha ya huko au utamaduni unaotumika kuwalipa vibarua ni kuwanunulia Gongo kwenye galoni ya Lita 5 au kitoto ndoo Cha Gongo kulingana na ukubwa wa shamba na wingi wa vibarua,
Huko shambani ambapo watafanya kazi kuanzia Asubuhi Hadi jioni Kwa ujira wa kunywa Gongo TU tena wakiwa huko huko shambani .
Hakuna malipo mengine wala chakula watakachopewa huko shambani au baada ya kumaliza kazi aidha ya kulima ,kupalilia au kuvuna. Na Maisha yanaendelea kama kawaida.
Je waungwana Kwa aina hii ya malipo je ni ubinadamu? Hata kama mtu atasema si wamekubali wenyewe je kiubinadamu ni sawa? Hata kama mtu ni maskini ndo umtese kiasi hicho jamani 🥲?
Kwetu Ungonini inaitwa "mkumi" ila mnaandaa chakula kizuri na kitamu, km wali na nyama,Hii ishakua kama utamaduni kwa jamii fulani unakutana wanaalikana katika kulima shamba la mtu so baada ya pale wanapongezwa kwa chakula tu ila sasa hii ya gongo ni mbaya sana
Mwaka 2011 babu Mzee Samunge wa Loliondo marehemu, aliitisha watu wakanywe kikombe kimoja cha dawa inayotibu mpaka ukimwi kwa gharama ya shilling 500 tu kwa kila kikombe, watu walitoka ndani ya afrika mashariki, kasikazini, magharibi mpaka kusini kuja kwa Mzee Samunge kupiga kikombe, hivi unataka kuniambia Mzee Samunge aliwashikia fimbo watu hawa au walikuja wenyewe kunywa dawa na kulikua na msululu wa magari foleni kubwa zote zinawahi kwa babu aliwashikia fimbo si walienda wenyewe? Hakuna mtu anaeshikiwa fimbo ili apewe gongo ni hiari yake mwenyeweKama jamii inafumbia macho hayo kwa kigezo cha ridhaa kwamba wanataka wao basi tunatengeneza taifa lenye watu wajinga wajinga wengi na wagonjwa kila siku.
Huo ni ujamaaKwetu Ungonini inaitwa "mkumi" ila mnaandaa chakula kizuri na kitamu, km wali na nyama,
Na sio kila siku, ni siku chache kwa kila mwananchi.
Sizani kama aliyekujibu ana akili timamu mfano hata kama ingekuwa kweli ningejibu Huwa wanalima mazao yakiiva tunauza Kisha tunawalipaKuna Baba Mmoja jirani yangu hapa juzi, katoka kwao Mbulu kwenye kilimo basi katika maongezi yanayohusu kilimo huko alikotoka Kuna jambo kidogo lilinishangaza sana na kufanya siku yangu yote kuharibika.
Ni hivi huyu bwana mara ya mwisho kutoka hapa kwenda huko kwao kwenye kilimo Kwa maelezo yake alikuwa na nauli ya kwenda TU na ilikuwa msimu wa kulima Sasa nikamuuliza, je vibarua hao wanaolima aliwalipa nini wakati alikuwa Hana pesa nyingine?
Alichonijibu ni hiki; kule kwao Yan sehemu kubwa ya maisha ya huko au utamaduni unaotumika kuwalipa vibarua ni kuwanunulia Gongo kwenye galoni ya Lita 5 au kitoto ndoo Cha Gongo kulingana na ukubwa wa shamba na wingi wa vibarua,
Huko shambani ambapo watafanya kazi kuanzia Asubuhi Hadi jioni Kwa ujira wa kunywa Gongo TU tena wakiwa huko huko shambani .
Hakuna malipo mengine wala chakula watakachopewa huko shambani au baada ya kumaliza kazi aidha ya kulima ,kupalilia au kuvuna. Na Maisha yanaendelea kama kawaida.
Je waungwana Kwa aina hii ya malipo je ni ubinadamu? Hata kama mtu atasema si wamekubali wenyewe je kiubinadamu ni sawa? Hata kama mtu ni maskini ndo umtese kiasi hicho jamani 🥲?
Aisee. Haya sawaRudi ukasome upya kuanzia mwanzo kasema vibarua walichotaka awape ni gongo sio pesa na gongo sio ya bure inanunuliwa kwa maana hio hapo hapo kwenye kodumu ka lita 5 wanakadiriana vikombe wanajua kila kikombe kimoja cha gongo bei gani?
Wanakuwaga kama akili haziko sawa. Hata baadhi pia wako kwa mama ntilie.. kazi yao kuchota maji malipo msosi...Huyo chota maji si atakuwa mraibu jamani?
Kuna mchangiaji kasema huyo dingi aliona jamaa ni snitch kwahiyo akaficha siri.ALIME KWA GONGO BILA C ATAKUFA.HUYO MLETA MADA HAJAMWELEWA HUYO MZEE.MBULU NIMEISHI PALE VIJIJIJI VYOTE NAVIFAHAMU HAKUNA KITU KM HICHO.ZAMANI WATU WALIKUWA WANALIMA KWA UMOJA LEO KWA HUYU KESHO KWA YULE ILA UNAANDAA POMBE NA MAKANDE NA POMBE ENYEwe ni ya mtama inaitwa busa.hyo gongo ndyo nasikia toka kwako