jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Ni kiongozi wetu aliingia madarakani kwa kura halali?Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha...
Loud and clearSSH amewakumbatia Kigogo na Mange watu ambao walikuwa wanamtukana na kumdhihaki JPM kila kukicha, acha na yeye atukanwe tu.
Uko sawa mwenyekiti haiwezekani sisi tunaoitwa sukuma gang na hao aliowateuwa tukavumilia kila aina ya matusi na kejeri na yeye ashindwe kuvumilia, avumilie tuu hamna namna.SSH amewakumbatia Kigogo na Mange watu ambao walikuwa wanamtukana na kumdhihaki JPM kila kukicha, acha na yeye atukanwe tu.
Imesha expire hiyo haiko kwenye chati tena wale waliokuwa wana mdhiaki "mungu wetu" sasa tunaimba nao wimbo mmoja bado wewe ndo hutaki kujifunza na kuelewa ila soon nawe utaunga tera.Na wale waliokuwa wanamuabudu mungu mtu wajue sasa huyo mungu wao ameshakufa na hawezi kurudi tena na wakitaka kulia waende kaburini kwake.
Km wanavyooza wafu wa ukoo wako na kuendelea kuwa chakula cha simbilizi.Na wale waliokuwa wanamuabudu mungu mtu wajue sasa huyo mungu wao ameshakufa na hawezi kurudi tena na wakitaka kulia waende kaburini kwake.
Wewe husemi ukweliUmeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha...
Hilo lipunguania ndilo li nani sasa?!Kama humkubali ni wewe, Mimi namkubali kabisa, Mtu anayetutawala kufuata sheria na Katiba ndo kipimo cha kiongozi mzuri
Nanukuu maneno ya mwalimu Nyererer : Rais anayetawala bila kufuata katiba hatufai, haatufai kabisa...
Hakuna aliyekamilika chini ya Jua. Kwa kweli mimi naona Mama anafanya vizuri na kazi zinaonekana kufanyika bila kelele nyingiiii.. swala la machinga limefanyika vizuri sana bila kelele, washirika wetu wa maendeleo wamerudi na tunaona miradi ikitekelezwa kama ilivyopangwa. Ukweli usemwe na unafiki ujitenge..Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.
Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.
Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.
Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!