Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Spana namba 18 pipe range 😂Km wanavyooza wafu wa ukoo wako na kuendelea kuwa chakula cha simbilizi.
Nb:Utakavyokuja ndivyo utakavyojibiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spana namba 18 pipe range 😂Km wanavyooza wafu wa ukoo wako na kuendelea kuwa chakula cha simbilizi.
Nb:Utakavyokuja ndivyo utakavyojibiwa
Ni katika namna hio hio ambayo hamkuridhika na Magufuli ila sie tuliona anachapa kazi na zinaonekanaHakuna aliyekamilika chini ya Jua. Kwa kweli mimi naona Mama anafanya vizuri na kazi zinaonekana kufanyika bila kelele nyingiiii.. swala la machinga limefanyika vizuri sana bila kelele, washirika wetu wa maendeleo wamerudi na tunaona miradi ikitekelezwa kama ilivyopangwa. Ukweli usemwe na unafiki ujitenge..
Kwa hali ya kawaida kila binadamu anatamani kitu flani na sio rahisi kuwaridhisha watu wote kwa wakati mmoja, kwa maana hiyo pia mtu asitegemee mama akaonekana mzuri machoni pa wote. Wapo watakaomuona tofauti tu na ni mitazamao yao.
▪︎ Ndiyo hivyo sasa aliwateua 11 na haukumfanya kitu, na hata sasa hauna cha kumfanya, utabaki kulialia tu mitandaoni.Kama humkubali ni wewe, Mimi namkubali kabisa, Mtu anayetutawala kufuata sheria na Katiba ndo kipimo cha kiongozi mzuri
Nanukuu maneno ya mwalimu Nyererer : Rais anayetawala bila kufuata katiba hatufai, haatufai kabisaaaa.
Sasa linganisha Mama SAMIA na hilo lipunguani lako nani ametia fora kwa kuvunja katiba?
Labda nikupe mifano michache:
1.Wabunge wa kuteuliwa katiba inasema ana uwezo wa kuteuwa wabunge kumi. Punguani lako halikuteuwa wabunge 11 mpaka lilivyoona limevunja katiba likatengua uteuzi wa Abdalla Possi
2. Hela za kodi zinazokusanywa na hazina matumizi yake yanaidhinishwa na Bunge kwa mjibu wa katiba, Punguani lako halikuwa linazigawa barabarani? Tena mleta mada ukome kabisa mwachae Rais wetu SSH atawale kufuata katiba.
Hakuna mtanzania ambaye yupo hai anayelingana na umri wa babu yangu,labda wewe utakuwa mzimu.Mie babu yako mzaa baba kuwa na heshima jukwaani humu
Mzimu wa kolelo 😅Hakuna mtanzania ambaye yupo hai anayelingana na umri wa babu yangu,labda wewe utakuwa mzimu.
Kama humkubali ni wewe, Mimi namkubali kabisa, Mtu anayetutawala kufuata sheria na Katiba ndo kipimo cha kiongozi mzuri
Nanukuu maneno ya mwalimu Nyererer : Rais anayetawala bila kufuata katiba hatufai, haatufai kabisaaaa.
Sasa linganisha Mama SAMIA na hilo lipunguani lako nani ametia fora kwa kuvunja katiba?
Labda nikupe mifano michache:
1.Wabunge wa kuteuliwa katiba inasema ana uwezo wa kuteuwa wabunge kumi. Punguani lako halikuteuwa wabunge 11 mpaka lilivyoona limevunja katiba likatengua uteuzi wa Abdalla Possi
2. Hela za kodi zinazokusanywa na hazina matumizi yake yanaidhinishwa na Bunge kwa mjibu wa katiba, Punguani lako halikuwa linazigawa barabarani? Tena mleta mada ukome kabisa mwachae Rais wetu SSH atawale kufuata katiba.
Sema mke wa mitala usimbanie cheo chake bi, Chokochoko. Atakuja kutupasha na mataarabu mpaka tukome.Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.
Maiti.. bladefeken..🤣🤣🤣
Kigogo aliwahi elezea tabia za bi, Chokochoko. Anakula kila kitu habakishagi na hajivungi, Sasa yanajitokeza, taratiiibu..Rais mpenda kifua cha Hamonizer?
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.
Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.
Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.
Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Mfumo dume umeharibu akili yako. Aliyekwambia Samia hawezi kuongoza ni nani?. Ondoa dhana potofu kichwani mwako.Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.
Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.
Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.
Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Nani alikusudiwa tofauti na Hangaya?[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]