Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Mfumo dume umeharibu akili yako. Aliyekwambia Samia hawezi kuongoza ni nani?. Ondoa dhana potofu kichwani mwako.
Kuongozwa na mwanamke na ukakenua ni uwendawazimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfumo dume umeharibu akili yako. Aliyekwambia Samia hawezi kuongoza ni nani?. Ondoa dhana potofu kichwani mwako.
🤣🤣🤣Team Diwani vs Team Mabeyo…. the less you know the better.
Huo mstari wako wa mwisho unaudhi sana. Ungekuwa karibu nami ningekudhaba kibao, na hao wazungu wako ningewanywesha mkojo wako.Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.
Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.
Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.
Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Ningeomba mleta mada aitolee maoni yake hii uliyoweka hapa, vinginevyo ni mnafiki mkubwa.Na Mbowe ana watoto na família kiujumla inamhitaji yeye sio aonewe kwasababu ya mitazamo tofauti na watawala.
Huyo Samia atakachokipanda ndicho atakachovuna na atakejeliwa bila ya kuangalia sura yake.
Ndo mnaongozwa na mwanamke, na huyu tunae Hadi achoke kutuongoza.Kuongozwa na mwanamke na ukakenua ni uwendawazimu.
[emoji16][emoji16][emoji16]Kama humkubali ni wewe, Mimi namkubali kabisa, Mtu anayetutawala kufuata sheria na Katiba ndo kipimo cha kiongozi mzuri
Nanukuu maneno ya mwalimu Nyererer : Rais anayetawala bila kufuata katiba hatufai, haatufai kabisaaaa.
Sasa linganisha Mama SAMIA na hilo lipunguani lako nani ametia fora kwa kuvunja katiba?
Labda nikupe mifano michache:
1.Wabunge wa kuteuliwa katiba inasema ana uwezo wa kuteuwa wabunge kumi. Punguani lako halikuteuwa wabunge 11 mpaka lilivyoona limevunja katiba likatengua uteuzi wa Abdalla Possi
2. Hela za kodi zinazokusanywa na hazina matumizi yake yanaidhinishwa na Bunge kwa mjibu wa katiba, Punguani lako halikuwa linazigawa barabarani? Tena mleta mada ukome kabisa mwachae Rais wetu SSH atawale kufuata katiba.
Katika hili la machinga na mimi wanamwunga mkono kwa kweli! Mama yuko vizuri! Sasa hivi miji yetu inawakawaka! Yaani imependeza!swala la machinga limefanyika vizuri sana bila kelele, washirika wetu wa maendeleo wamerudi na tunaona miradi ikitekelezwa kama ilivyopangwa. Ukweli usemwe na unafiki ujitenge..
Naona wewe ndo unataka kuleta uchochozi Kati ya Rais na wananchi wake.Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.
Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.
Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.
Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Aliyekusudiwa ni nani?!Mama ni ‘asante CDF'…. japo ni mweupe ila ni afadhali kuliko aliyekusudiwa.
Ndo mnaongozwa na mwanamke, na huyu tunae Hadi achoke kutuongoza.
#tanzaniayasamia
#superwoman
Ataanza lini kuweza kuongoza?Mfumo dume umeharibu akili yako. Aliyekwambia Samia hawezi kuongoza ni nani?. Ondoa dhana potofu kichwani mwako.
Mshazoea ubabe wa hayati? Hayupo tena juu ya uso wa dunia, kuweni wapole kubalianeni na uhalisia wa mambo.Ataanza lini kuweza kuongoza?
Mwendawazimu ni wewe usiyekubaliana na mapenzi ya Mungu.Kuongozwa na mwanamke na ukakenua ni uwendawazimu.
Mtakufa na kinyongo chenu, hamna jeuri zaidi ya kujifariji kwa maneno matupu ya jamiiforum.Hata mwaka bado ,, mshatepeta,
Aachie tu wengine aende akalee ndoa yake ya mitala Makunduchi, na hakuna wala hatoona mtu anamsumbua.. hatuna shida na yeye nchi yetu lazima tutaipigania kwa wivu wetu wote. Hatutamuacha katu.
Tutapiga mpaka achakae..
Nakuonea huruma unavyoteseka, mama mitano tenaHuna ujualo, Bi. Tozo hagombei 2025 (Gazeti UHURU halikuongopa, lilitoa za ndani likakemewa)…. jiandae tu kushangilia tutayekuletea.
hata kama 100 tena haiondoi ukweli kwamba hana uwezo hana loloteNakuonea huruma unavyoteseka, mama mitano tena
Kila rais kwako hana uwezo. Bora ujikalie kimya tu.hata kama 100 tena haiondoi ukweli kwamba hana uwezo hana lolote
kwa hiyo tukiita marais, Samia naye atakuja?Kila rais kwako hana uwezo. Bora ujikalie kimya tu.