Hata kama Rais Samia haumkubali, si sahihi kumpuuza na kumwandikia jumbe zisizo na staha

Hakuna aliyekamilika chini ya Jua. Kwa kweli mimi naona Mama anafanya vizuri na kazi zinaonekana kufanyika bila kelele nyingiiii.. swala la machinga limefanyika vizuri sana bila kelele, washirika wetu wa maendeleo wamerudi na tunaona miradi ikitekelezwa kama ilivyopangwa. Ukweli usemwe na unafiki ujitenge..
Kwa hali ya kawaida kila binadamu anatamani kitu flani na sio rahisi kuwaridhisha watu wote kwa wakati mmoja, kwa maana hiyo pia mtu asitegemee mama akaonekana mzuri machoni pa wote. Wapo watakaomuona tofauti tu na ni mitazamao yao.
Mama anachukiwa na majambazi ya Sukuma gang akina Sabaya, Makonda, Polepole, Mnyeti na wengineo wa namna hiyo! Mirija yao ya kufanya ujambazi na kukwapua hela za watanzania kwa kisingizio cha uzalendo fake imekatwa!! Ukitaka kujua hawa watu walikuwa majambazi angalia sababu walizotumia kumuondoa Prof Assad (Tena walimuondoa kwa kuivunja katiba mchanaa kweupe)
 
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Ukichunguza vizuri utagundua kuwa wanaomtukana 'Mama' na dharau ni Al Mataga, sisi Wapinzani tumekuwa pamoja nae kuanzia aliposhika Madaraka hadi pale alipoiambia Dunia kupiti BBC kuwa Mbowe ni Gaidi na 'Wenzie' walishafungwa.

Sisi tutaendea 'kumpasha' kuwa akumbuke Katiba Mpya yetu sisi Wananchi.
 
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Kwani Tundu Lisu yeye amamsemaje?
Maana hao ndo weenye maneno machafu kwa viongozi
 
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Apandacho mtu ndicho avunacho. Maji hufuata mkondo. Ukiona mtu haheshimiwi jua kaanza kutojiheshimu mwenyewe. Wanaojiheahimu hawalazimishi kuheshimiwa
 
Imesha expire hiyo haiko kwenye chati tena wale waliokuwa wana mdhiaki "mungu wetu" sasa tunaimba nao wimbo mmoja bado wewe ndo hutaki kujifunza na kuelewa ila soon nawe utaunga tera.
Kuunga tela kwa yule bedui! Hapana.
 
Alipoingia madarakani tu,haraka haraka akaanza harakati za kuwatoa Mashekh wa uamsho na kuwakemea mapolisi wanaobambikiza watu makosa ya uongo, alipowatoa tu akapiga u-turn yeye sasa amekuwa mtuhumiwa wa kuhakikisha Mbowe anafungwa kwa makosa ya kutunga kisa tu yeye na maccm wenzie hawaitaki katiba mpya.Mungu anayaona haya yote yeye atamalizana na waovu wote.
 
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Wapuuzi tuu wachache magenge ya sukuma gang na Chadomo gang ila wengi tunamkubali sana
 
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Nimeona clip kwenye TV za taarifa za habari zinazozungumzia bandari ya bagamoyo:
--Kwamba Samia anadai kulikuwa hakuna mkataba wowote uliosainiwa!!
--Clip nyingine Jakaya akiweka jiwe la msingi la bandari wakati wa utawala wake!!!
--JPM akipinga mkataba mbovu ambao ni wa kiuenda wazimu!!

Sasa Samia rasmi ameingia kwenye lile genge lililofilisi raslimali na fedha zetu chini ya JK.
Nina taarifa kuwa Samia aliwahi kuwa ----- wa Jk nimekasirika sana!!
JPM alikuwa mkorofi na jeuri na jambazi peke yake na wachache sana! JK alikuwa na mtandao wa majambazi. Sasa Samia ameurithi rasmi.

Tumpinga SSH kwa nguvu zote!! Apingwe usiku na mchana!!
 
Mama anachukiwa na majambazi ya Sukuma gang akina Sabaya, Makonda, Polepole, Mnyeti na wengineo wa namna hiyo! Mirija yao ya kufanya ujambazi na kukwapua hela za watanzania kwa kisingizio cha uzalendo fake imekatwa!! Ukitaka kujua hawa watu walikuwa majambazi angalia sababu walizotumia kumuondoa Prof Assad (Tena walimuondoa kwa kuivunja katiba mchanaa kweupe)
Kile cheti fake kilichopelekea ukafutwa kazi na Magufuli ulikipata wapi mwenzetu?!
 
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Huyu aliingia kwenye siasa sio mam yangu Wala dada yangu, pamoja namheshimu Ila hawezi kuepuka kutukanwa au kupewa kejeli eti ni mama, mwanamke what the heck!!! Kwa hiyo wanaume wanasiasa ndio wapewe kejeli??? Ujinga mtupu.

Alipoamua kuingia kwenye siasa nadhani alishafahamu haya yote na kama hakufahamu Sasa ndio afahamu, kikwete alichorwa vibaya mpaka picha za hovyo Sasa nae atulie tu.
 
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Huna lolote eti unamtetea wakati we ndo una chuki nae acha unafiki,,eti hata kama wengi hawamkubali!!! Eti hata kama hana uwezo kama viongozi waliopita!! Jipange 2030 si karibu
 
Back
Top Bottom