Hata kama Rais Samia haumkubali, si sahihi kumpuuza na kumwandikia jumbe zisizo na staha

Watanzania ni washenzi sana. Wanamtukana Mhe. Rais wakati kuna kipindi jamii forum ilifungiwa wakawa wanatumia jamii forum ya Kenya na VPN.
Yote hayo Wamesahau
Inatakiwa waongozwe na mtu kama Aliekua rais wa Uganda Idd Amini
Kwa hiyo asikosolewe kwa kuwa uhuru wa mitandao ni "hisani ya Samia" wala si katiba!?
 
wanaokejeli ni wale wafuasi wa Jpm na Wafuasi wa Ndugai.

Hawa washughulikiwe. Wasituharubie nchi.
Wewe huna tofauti na kile kinyago kilichosema " wasitucheleweshe" kana kwamba wapinzani wamewahi kuongoza hii nchi wakati "wahuni" wenzake wa ccm ndio wanatuita "wananchi wanyonge"
 
Pamoja na Uhuru wa kuongea na kutoa maoni kwa mujibu wa Katiba tuliyonao,, ila Uhuru wa kufikia kiwango Cha kukosa nidhamu na adabu kwa kumkejeli na kumtukana Rais wa JMT kwa ID fake hii haikubaliki!?

Ukiangalia comments nyingi za wadau hapa jukwaan kwa ID fake, ama kwingineko huko utaona watu wengi wanasema Huyu Mama tumepigwa, huyu Mama Ni mweupe kichwani, huyu Mama hamna kitu, huyu Mama tumepigwa, Mara hivi Mara vile na matusi mengi mengi yasiyovumilika!!

Ndugu zangu waTZ , muda wa Mama utapita, uzuri kaulj zile za atake asitake tutampa uraisi wa kudumu zimeexpire na Bwana yule, hatuna haja ya kutukana au kumkejeli Rais.

Ni kweli, gharama za maisha zimepanda, Ni kweli tozo Ni nyingi kuzidi kipato Cha mtu mmoja mmoja, lakini Kuna namna Mama huyu anajitahid kuwakwamua wananchi wake, mathalani, kakubali nyongeza ya mshahara kwa watumishi, ametangaza neema ya ajira kwa vijana , kakubali kuweka luzuku kwenye mafuta na huku miradi mengineyo hatuoni ikikwama popote ingawa Ni miradi ya gharama z juu!!

Kama Ni suala la kupanda kwa Deni la taifa, no dought, mtangulizi wake kwa usiri mkubwa kachangia Sana Sana!!

Tumkosoe kwa staha, na si kejeli na matusi ya hapo na pale!
Sasa ndugu yetu mwenye ID fake unahoji wenye ID fake
 
Huyu atukanwi,aliyetukanwa ni Magufuli pekee
 
Hakuna mtu anamkejeli Rais. Tunasema tu,'a woman's place is in the kitchen." Vitabu vya dini zote vinakataza Rais kuwa mwanamke. Ukitaka nukuu tunaweza kukuonesha. Rais anatenda dhambi kwa kuwa madarakani.
Lakini Wewe ndio unaileta hii topic wakati sisi tunataka kujadili kuhusu mambo mengine.
 
Kuna watu walidhani Mama atashindwa...
Sasa kila kukicha hawaamini...
images (4).jpeg

Yaooo
 
Pamoja na Uhuru wa kuongea na kutoa maoni kwa mujibu wa Katiba tuliyonao,, ila Uhuru wa kufikia kiwango Cha kukosa nidhamu na adabu kwa kumkejeli na kumtukana Rais wa JMT kwa ID fake hii haikubaliki!?

Ukiangalia comments nyingi za wadau hapa jukwaan kwa ID fake, ama kwingineko huko utaona watu wengi wanasema Huyu Mama tumepigwa, huyu Mama Ni mweupe kichwani, huyu Mama hamna kitu, huyu Mama tumepigwa, Mara hivi Mara vile na matusi mengi mengi yasiyovumilika!!

Ndugu zangu waTZ , muda wa Mama utapita, uzuri kaulj zile za atake asitake tutampa uraisi wa kudumu zimeexpire na Bwana yule, hatuna haja ya kutukana au kumkejeli Rais.

Ni kweli, gharama za maisha zimepanda, Ni kweli tozo Ni nyingi kuzidi kipato Cha mtu mmoja mmoja, lakini Kuna namna Mama huyu anajitahid kuwakwamua wananchi wake, mathalani, kakubali nyongeza ya mshahara kwa watumishi, ametangaza neema ya ajira kwa vijana , kakubali kuweka luzuku kwenye mafuta na huku miradi mengineyo hatuoni ikikwama popote ingawa Ni miradi ya gharama z juu!!

Kama Ni suala la kupanda kwa Deni la taifa, no dought, mtangulizi wake kwa usiri mkubwa kachangia Sana Sana!!

Tumkosoe kwa staha, na si kejeli na matusi ya hapo na pale!
Hahahaha we endelea kuramba nini kinakuuma
 
Wewe huna tofauti na kile kinyago kilichosema " wasitucheleweshe" kana kwamba wapinzani wamewahi kuongoza hii nchi wakati "wahuni" wenzake wa ccm ndio wanatuita "wananchi wanyonge"
KWA moto kiliokupelekea hutakisahau endelea kuota
 
Pamoja na Uhuru wa kuongea na kutoa maoni kwa mujibu wa Katiba tuliyonao,, ila Uhuru wa kufikia kiwango Cha kukosa nidhamu na adabu kwa kumkejeli na kumtukana Rais wa JMT kwa ID fake hii haikubaliki!?

Ukiangalia comments nyingi za wadau hapa jukwaan kwa ID fake, ama kwingineko huko utaona watu wengi wanasema Huyu Mama tumepigwa, huyu Mama Ni mweupe kichwani, huyu Mama hamna kitu, huyu Mama tumepigwa, Mara hivi Mara vile na matusi mengi mengi yasiyovumilika!!

Ndugu zangu waTZ , muda wa Mama utapita, uzuri kaulj zile za atake asitake tutampa uraisi wa kudumu zimeexpire na Bwana yule, hatuna haja ya kutukana au kumkejeli Rais.

Ni kweli, gharama za maisha zimepanda, Ni kweli tozo Ni nyingi kuzidi kipato Cha mtu mmoja mmoja, lakini Kuna namna Mama huyu anajitahid kuwakwamua wananchi wake, mathalani, kakubali nyongeza ya mshahara kwa watumishi, ametangaza neema ya ajira kwa vijana , kakubali kuweka luzuku kwenye mafuta na huku miradi mengineyo hatuoni ikikwama popote ingawa Ni miradi ya gharama z juu!!

Kama Ni suala la kupanda kwa Deni la taifa, no dought, mtangulizi wake kwa usiri mkubwa kachangia Sana Sana!!

Tumkosoe kwa staha, na si kejeli na matusi ya hapo na pale!

Kurudia matusi ni kutukana pia! Umetukana Sana kwenye post yako!! Haioneshi adabu! Huwezi kurudia KUTAMKA tusi alilotukanwa baba au mama yako halafu ukadai una heshima!! Ingetosha tu kusema watu wasitukane, badala ya kuyarudia matusi Yale Yale!
 
Watanzania ni washenzi sana. Wanamtukana Mhe. Rais wakati kuna kipindi jamii forum ilifungiwa wakawa wanatumia jamii forum ya Kenya na VPN.
Yote hayo Wamesahau
Inatakiwa waongozwe na mtu kama Aliekua rais wa Uganda Idd Amini
Itafungiwa tena 2025 kwenye uchaguzi mkuu.
BTW: Mh.Samia anajitahidi kufanya kazi nzuri na kusikiliza maoni ya wananchi haraka. Tatizo bado kuna watu wana muangusha huko serikalini.

Kuna mengine lazima aweke ukali.
 
Pamoja na Uhuru wa kuongea na kutoa maoni kwa mujibu wa Katiba tuliyonao,, ila Uhuru wa kufikia kiwango Cha kukosa nidhamu na adabu kwa kumkejeli na kumtukana Rais wa JMT kwa ID fake hii haikubaliki!?

Ukiangalia comments nyingi za wadau hapa jukwaan kwa ID fake, ama kwingineko huko utaona watu wengi wanasema Huyu Mama tumepigwa, huyu Mama Ni mweupe kichwani, huyu Mama hamna kitu, huyu Mama tumepigwa, Mara hivi Mara vile na matusi mengi mengi yasiyovumilika!!

Ndugu zangu waTZ , muda wa Mama utapita, uzuri kaulj zile za atake asitake tutampa uraisi wa kudumu zimeexpire na Bwana yule, hatuna haja ya kutukana au kumkejeli Rais.

Ni kweli, gharama za maisha zimepanda, Ni kweli tozo Ni nyingi kuzidi kipato Cha mtu mmoja mmoja, lakini Kuna namna Mama huyu anajitahid kuwakwamua wananchi wake, mathalani, kakubali nyongeza ya mshahara kwa watumishi, ametangaza neema ya ajira kwa vijana , kakubali kuweka luzuku kwenye mafuta na huku miradi mengineyo hatuoni ikikwama popote ingawa Ni miradi ya gharama z juu!!

Kama Ni suala la kupanda kwa Deni la taifa, no dought, mtangulizi wake kwa usiri mkubwa kachangia Sana Sana!!

Tumkosoe kwa staha, na si kejeli na matusi ya hapo na pale!
Achana nao,unahangaika na watu wenye chuki binafsi?

Bahati nzuri mh.Rais kawaruhu waonge weee wakichoka wataacha na hakuna kitu kitabadilika..

Jambo zuri ni kwamba Rais hatafuti wala halazimishi mtu kumpenda ila yuko focused.Sasa utahangaika na wajinga Hadi lini? Si utaacha mambo ya msingi sasa ubakie kuhangaika na stupid people?👇

2935085_FB_IMG_16307140795615105 (1).jpg
 
Huku ni mitandaoni sio kwenye nyumba za ibada, kila mtu ana akili yake. Halafu unalazimisha heshima wakati wanaingia madarakani kwa njia zisizo na heshima. Ukitaka heshima ingia madarakani kwa njia halali, sio kwa uhayawani ule tuliouona kwenye uchaguzi wa 2020.

Hata hivyo matusi ni chini ya 5% ya michango yote, ni wapi hakuna matusi dunia hii? Fanyieni kazi madai mengine, haya matusi inabidi mpambane na hali zenu, au msiiingie huku mitandaoni mbali na kusikiliza redio, TV na kusoma magazeti ya chama na serikali.
 
Back
Top Bottom