Hata kama Rais Samia haumkubali, si sahihi kumpuuza na kumwandikia jumbe zisizo na staha

Pale unapotaka kutoa boriti ya jicho la mwenzako. Angalau ungekuja na ID yako halisi ungeeleweka.
 
No dought maana yake nini kwa kiswahili au kiingereza? Ndo maana mnakuwa Kupe... Hamna kitu kichwani.
 
Sababu za kumkosea nidhamu ni hizi hapa

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
 
Wewe ulitaka wafanye nini?
Unapoandika toa na suluhisho, Mtu anayelalamika bila suluhisho ni mpumbavu

Je na wewe yu mpumbavu?

Mtu anayetaka mawazo yake yawe mawazo ya wote ni mjinga

Je wewe ni mjinga? kama sio mjinga kwanini unataka watu waongee mazuri na kusifu tu

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Wanasahau mama ana full power na akiamua kuwa dictator anaweza sema busara na uvumilivu wake Ndio ponapona ya wajinga.
 
Sababu za kumkosea nidhamu ni hizi hapa

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Wewe ni mpumbavu na punguwani,je marehemu jpm alitukanwa naye sababu ni mwanaume ,mkristu na msukuma kutoka chato!!??
 
Kwani Kikwete alishaiuza gesi yote kwa WACHINA?Ajabu Naona hakuna uchangamkiaji wa kuiendeleza wakati huu soko lake likiwa limeshamili dunia nzima!
 
So far niko upande wa Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…