Chadema sio mfu ndiyo maana mnaitaja?? Kinyume chake utakuwa unatafuta basha wa kukusugua kwenye mtaroWa
Wapo mtandaoni, kama mnataka msisemwe basi jifuteni humu jf.
Mbona ninyi kika siku mnamzungumzia mwendazake wakati keshakufa?
Popote mluoo hata kama mko shimoni mtazungumzwa tu, iwe la hiari au kwa lazima, maana ndo uhuru wa habali
Kelele zipi kwa mfano? Kelele zikoje? Si mlisema Chadema hawana jema? Tuna kazi ya kukosoa tu?? Sasa tumeanza kupongeza mnaziita pongezi zetu Kelele? Mbona hamuelewekiAhaaa, kama mnajua hakuna political gain hizo kelele za furaha za nini?
Yaweza akawa na hatia au hana ndio maana kasimamishwa kazi. Sasa furaha ya kisiasa Chadema inatoka wapi?Ukisililiza ile clip ya malalamiko ya mfanyabiashara Moshi mmiliki wa Weruweru Lodge na matukio mengi ya kihalifu ya Sabaya, mtu yeyote mwadilifu na hekima hawezi kumtetea Sabaya. Hakuna mambo ya political gain hapa, nazungumzia busara za kawaida kabisa bila uhitaji wa kiwango chochote Cha elimu, the guy is rubbish and unethical. Tena unaweza kuwaza aliwezaje kukaa muda wote huo kwenye ofisi ya umma!
Hao chadema waliochekelea umekutana nao wapi? Wamekuambia wao ni chadema.? Tulizeni makalio wacheni kuwashwa washwa.Chadema mmechekelea na kufurahi sana kana kwamba mtapata uhai tena
Ahaaa, pongezii? Lini Chadema wanapongeza? Mmejua hamuwezi kupata kick za kisiasa mnabaki kufanya unafikiKelele zipi kwa mfano? Kelele zikoje? Si mlisema Chadema hawana jema? Tuna kazi ya kukosoa tu?? Sasa tumeanza kupongeza mnaziita pongezi zetu Kelele? Mbona hamueleweki
Tunafanya Unafiki tuna serikali? Tuna mbunge? Yaani hukupenda Sabaya kufurushwa? UtakondaAhaaa, pongezii? Lini Chadema wanapongeza? Mmejua hamuwezi kupata kick za kisiasa mbanaki kufanya unafiki
Wananchi wapo pamoja na CHADEMA tatizo mwendazake alitumia NGUVU kubwa kukiua chama mpaka kuamua kuiba kura mchana kweupe . kama hujui haya basi wewe utakuwa TAHIRA TUU. CCM ni chama maslahi tu bila dola hakuna kitu, wengi wapo CCM kwa ajili ya matumbo yao.Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa Chadema ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.
Chadema inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.
Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?
Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?
Kuondoka Sabaya sio suluhu ya Chadema kupaa kisiasa.
Kama Mbowe alitafuna bil 8, je akipewa nchi si atakomba zote.Wananchi wapo pamoja na CHADEMA tatizo mwendazake alitumia NGUVU kubwa kukiua chama mpaka kuamua kuiba kura mchana kweupe . kama hujui haya basi wewe utakuwa TAHIRA TUU. CCM ni chama maslahi tu bila dola hakuna kitu, wengi wapo CCM kwa ajili ya matumbo yao.
Huyu aendelee kuwepo, ni mtu mwema na mchapa kazi, anasaidia kutuchekesha.Mama samia bado yule mwenye mashavu makubwa na upaa kule mbeya
Umejificha kwenye CDM watu siku hizi hawaongelei CDM wala CCM siku hizi ni mwendo wa Utawala boraHuo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa Chadema ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.
Chadema inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.
Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?
Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?
Kuondoka Sabaya sio suluhu ya Chadema kupaa kisiasa.
Very poor argument from a poor mind.Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa Chadema ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.
Chadema inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.
Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?
Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?
Kuondoka Sabaya sio suluhu ya Chadema kupaa kisiasa.
Hatuangia chadema wala ccm issue ya sabaya...Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa CHADEMA ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi.
CHADEMA inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa kazi.
Jitathimini kuwa nani atawaaamini wakati mna kashfa kubwa za ufisadi?
Nani atawaamini wakati mna kashfa kubwa ya kupeana viti maalumu kwa rushwa ya ngono?
Kuondoka Sabaya sio suluhu ya CHADEMA kupaa kisiasa.
Huyu mleta mada hii kilaza kweliNani kasema Sabaya kafurushwa in political gain?
Je, aliyemfurusha Sabaya ni CHADEMA?
Acha kumdhihaki SASHA!
Dogo una akili mnoNani kasema Sabaya kafurushwa in political gain?
Je, aliyemfurusha Sabaya ni CHADEMA?
Acha kumdhihaki SASHA!
Ndugu,Chadema mmechekelea na kufurahi sana kana kwamba mtapata uhai tena