Hata kama Sabaya akifutwa kazi hamuwezi kupata 'Politcal Gain'

Wewe unapaswa ujitathmini sana, ulisoma ile press ya ikulu juu ya sabaya kusimamishwa? Au unaleta mamb ya uchama tu, ana shutuma nyingi dhidi yake ndo maan kasimamishwa ufanyike uchunguzi. CDM inaingiaje kweny hili la sabaya kutenguliwa?? Wakati mwingine muwe na huruma na pesa mnayolipwa halaf mnaongea pumba always!!
 
Chadema wanaona aibu kuingia kwenye uchaguzi. Ujue waliambulia mbunge mmoja tuu kwenye uchaguzi mkuu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hakika mtanyooka tu hamtakaa muamini, ikiwapendeza mrudisheni anyooshe NCHI!!! Zama zile zimepita ongeeni mamb yenye tija kwa Taifa na sio kutafuta kum prove wrong Rais haitowasaidia.
Angalia wanavyopenda na povu la furaha utadhani Mbowe kapata ubunge kisa Sabaya kasimamishwa u DC.
Samia nchi imemshinda mapemaaaaa.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 

Mkuu chadema hawaeleweki
Usishangae 2025 ukawakuta wanamsafisha hadharani kama walivyofanya kwa Lowasa
 
huyu mama amalize tu mda wake atuachie nchi
 
Mkuu unateswa na kivuli chako mwenyewe,,, Wapinzani wanahusika vip na kutumbuliwa kwa sabaya..
 
Mkuu CHADEMA wametoa tamko lolote juu ya hatua hiyo?
 
ASANTE MUNGU KWAAJILI YA TAREHE 17.

NAMPENDA SAMIA MIE JAMAANI.
 
Siyo kuondoka Sabaya mkuu, kuna aliye tumia nguvu zote CHADEMA ikose uhai, ambaye kwa sasa ni almaharufu mwanakwendazake, hata Wewe utakufa uiache CHEDEMA!
 
Wa

Wapo mtandaoni, kama mnataka msisemwe basi jifuteni humu jf.
Mbona ninyi kika siku mnamzungumzia mwendazake wakati keshakufa?

Popote mluoo hata kama mko shimoni mtazungumzwa tu, iwe la hiari au kwa lazima, maana ndo uhuru wa habali
Kwanini na ‘uhuru’ usiseme ‘uhulu’ kama hiyo ‘habali’ au unataka tu tukutambue kwamba Wewe ni sukumagang?!
 
Sure for sure
 
Nimekuelewa balaa hii comment..wanawake tuna mambo yetu tofauti..tukisema A tunamaanisha B
 
Your sound is as if Sabaya himself speaking. Hata kama umefungua akauti tofauti zenye majina tofauti, lakini kisaikolojia tayari umejeruhiwa. Usimlaumu mtu yeyote bali wewe mwenyewe na mwendazake aliyekuendekeza.

Ubaya wako na chuki zako ndizo zimekufikisha hapo ulipo. Shetani uliyemtegemea amekukana na Mungu hapendezwi na matendo yako pia. Tanatambua upo njia panda, kwa aibu unaweza hata kujidhuru upate kufa.

Jambo moja la maana limebaki juu yako. Tubu na ungama maovu yako upate kusamehewa na Mola wako, ijapokuwa jela nayo inakuhusu ili wale uliowadhulumu na kuwahujumu wapate kukusamehe kwa dhati.

Siku zote kumbuka "Mwisho wa ubaya ni aibu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…