Inategemea na term za kuachana huko. Kumsahau hutoweza, always atakua sehem ya kumbukumbu yako ila upendo ndio huwa unaondoka kabisaMapenzi hayaishi bhana na wala mtalaka hatongozwi....hata kama umeachana na mke wako Bado kuna nafasi yake kwenye moyo wako hata uoe mwanamke mwingine mzuri zaidi yake.
Lazima utakuwa na Griefing haiwezi kuisha kamwe.