Hata kama una gheto kama hili! Lakini msongo wa mawazo lazima ukuue!

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa mawazo! Haijalishi utajitahidi kivipi kuwa na gadgets za electronics kukuliwaza! Ebu angalia huyu mdada, kama una D mbili utanielewa
 
Hilo sio gheto mkuu...
Hilo ni chumba πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Duh kila kitu humo humo, ndio sebule, jikoni na dining, bedroom nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…