Hata kama una gheto kama hili! Lakini msongo wa mawazo lazima ukuue!

Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa mawazo! Haijalishi utajitahidi kivipi kuwa na gadgets za electronics kukuliwaza! Ebu angalia huyu mdada, kama una D mbili utanielewa
View attachment 3217896

Ghetto standard,lakini msongo wa mawazo làzima ukuue!
 
Mi nadhani wewe ndiye una shida pahala mkuu🤭
 
Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa mawazo! Haijalishi utajitahidi kivipi kuwa na gadgets za electronics kukuliwaza! Ebu angalia huyu mdada, kama una D mbili utanielewa
View attachment 3217896
Hayuko peke Ake angalia kulia kwake kuna MacBook air,manake yupo na Mtu ...Yeye anaangalia kitu Fulani kupitia tablet Yake
 
Desktop computer, tablet na laptop ni vitu vitatu tofauti kimatumizi; Desktop computer ni kwa ajili ya nyumbani. Laptops ni kwa ajili ya kwenda nayo kwenye shughuli zako. Tablet ni kama laptop kwa ajili ya shughuri laini zinazoingiliana na laini ya simu. Watu wengi hizo aina tatu wanazo! Hizo gadgets za electronics wengi uzinunua wakidhani zutawaondolea upweke kumbe wapi!😏
 
Back
Top Bottom