Hata kama una gheto kama hili! Lakini msongo wa mawazo lazima ukuue!


Ghetto standard,lakini msongo wa mawazo lΓ zima ukuue!
 
Mi nadhani wewe ndiye una shida pahala mkuu🀭
 
Hayuko peke Ake angalia kulia kwake kuna MacBook air,manake yupo na Mtu ...Yeye anaangalia kitu Fulani kupitia tablet Yake
 
Hayuko peke Ake angalia kulia kwake kuna MacBook air,manake yupo na Mtu ...Yeye anaangalia kitu Fulani kupitia tablet Yake
Desktop computer, tablet na laptop ni vitu vitatu tofauti kimatumizi; Desktop computer ni kwa ajili ya nyumbani. Laptops ni kwa ajili ya kwenda nayo kwenye shughuli zako. Tablet ni kama laptop kwa ajili ya shughuri laini zinazoingiliana na laini ya simu. Watu wengi hizo aina tatu wanazo! Hizo gadgets za electronics wengi uzinunua wakidhani zutawaondolea upweke kumbe wapi!😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…