Hata Kama Ungekua Wewe Ungekubali Kufungwa Mara 5 Mfululizo Kweli?

Hapo ni mbio tu. Wamejaribu kujipa matumaini ni wazee. Wanakuta wazee wako kimyaa kabisa wanaendelea kukamua matizeee ya nguvu kumkamua tena. Wameona isiwe kesi.
 
Ujinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala.
 
Wakati fulani bora lawama, kuliko fedheha. Simba wameogopa kudhalilika wakati huu "wanapokijenga kikosi chao"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…