Hata kutokee nini, sirudi kuweka makazi yangu Tanzania

Pumbavu ww na hao wazazi wako wamekulea pasipo na maadili Nani anataka pesa yako we juha
Hta wewe utakua unaitolea mate pesa yngu mana sio kwa kupanic hivi ๐Ÿ˜‚ Panic mpk ukufe kabsa Tanzania SIRUDI
 
Mwanaume unalia lia ivo
 
Pumbavu kabisa hiko kibabu cha kizungu chenye jinsia sawa na wewe kilichokuoa ndio kinakupiga mipaipu mpaka unasahau asili yako
 
Hii ndio Tanzania ambayo wanaojiita wachumi wamesomea kuiba hela za wananchi na sio kubuni miradi ya uzalishaji.
 
Baki hukohuko utumwani ndugu yangu....si tunapambana kuijenga nchi yetu hivyo hivyo kibishi bishi...

Hata huko unakowasifia walipata taabu hivihivi babu na bibi zao kujenga nchi zao, unafikiri huko uliko mwaka 1820 hawakuwa maprimitive?.... primitive stages kila Taifa linapitia na limepitia na wananchi husika walipambana kuuondoa huo uprimitive sasa wewe umekuta mteremko huko watu wamepambana unafurahia matunda baada ya wewe nawe kupambana kuondoa uprimitive kwenye Taifa lako ili wajukuu zako wafurahie matunda....

tusipende sana kufurahia matunda na urithi wa wengine walioachiwa na mababu zao huku wenyewe tukikwepa majukumu yakujenga nchi kwa manufaa ya wajukuu zetu..... ndio wazungu wanatudharau tunavyoenda kwao na kuleta ujuaji...
 
Usirudi tu maanake tunampango wa kuwarudisha tuliowatoa kwa vyeti feki,tunawapandisha mishahara na madaraja!
Imagine taifa hilo liliwahi kuwa na kiongozi kama Jiwe, huo utani wa kweli, fikiria kama Mungu asingeilia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani kuna mtu atakulazimisha kurudi basi!? Usirudi kabisa mwayego

NA HAMNA KITU WATAKUFANYA
Wanasemaga mkimaliza kusoma hko nje mje kufanyia kazi nchi yenu km vile wanalipa wao ada ya shule sldnfufnflsnsb
 
Yani wewe kaa huko lakini hela yako lazima tuipate kwenye miradi inayowezeshwa na watu wa marekani.
We Unafikiri pesa wanatoa bure? Mnalipa zaidi ya pesa wanazotoa halafu zinakuja kufanya maendeleo hku kwao
 
Mpaka sasa umeifanyia nini Tanzania? Unafikiri hao wazazi wako bila nguvu za Watanzania wangefika huko?
Siku zote sio kila unachofanya ni kwa ajili yako tu, kuna watu wanasaidia yatima, wengine wanasomesha Watanzania wenzao masikini, na mengine mengi, kwa hiyo kuwa na amani tu, tulia uko maisha yetu yanaendelea hata bila wewe.
 
Tuliopo Runzewe tunacomment wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ