Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buure mnatoa mapovu kama mmekunywa sabuni omo. Mtu mwenyewe yuko hapo Kijichi. Ametaka tu kuwavuruga.Pumbavu ww na hao wazazi wako wamekulea pasipo na maadili Nani anataka pesa yako we juha
sifa ya 'matahira' huwa ni kunenepaCha ajabu nazidi kunenepa tu itakua nayaishi maneno ya bwana waziri "tutazoea tu tozo" ntakua nimezoea na nimeridhika
Ahsantesifa ya 'matahira' huwa ni kunenepa
Ndiye mwenyeji wetu atakaye tupokea huko Burundi.Ndaishimiye ndo nan?
Bahat nzuri hata sikufahamu hiyo pesa yako ntaitaman vp?Hta wewe utakua unaitolea mate pesa yngu mana sio kwa kupanic hivi [emoji23] Panic mpk ukufe kabsa Tanzania SIRUDI
Good luck, mwandiko kama mwajuma ndala mbovu wa tabata,Hata siku wazazi wangu wakiamua kurudi Tanzania mimi siwez kurudi. Sirudi kamwe hata kutokee nini sirudi kuja kueka makaz yngu Tanzania.
Siwez kunufaisha watu wavivu, wajinga wasiofanya kazi km inavotakiwa ila kla mwisho wa mwezi kwa kutumia kodi yng wanavimbisha matumbo na familia zao kila sku.
Bora nionekane sio mzalendo lakini pesa yangu ina thamani kubwa sana haiwez kutumika kizembe. Pesa yangu hawezi kulipa watu wasiofaa kulipwa au kufanyiwa vtu vya kipumbavu vsiokua na manufaaa kwa raia wote wa Tanzania kwa pamoja. Pesa yangu sichumi kwenye mti hivo haiwezi kutumika kizembe tu.
Bora niendelee kunufaisha wazungu mana wao wanatumia vizuri kodi, kla siku maendeleo yanaonekana na mimi nanufaika na maendeleo hayo. Lakini sio serikali ya Tanzania na utumiaji wake wa hovo kodi za wananchi.
Kuna mda ukifika ntabadilisha kabsa uraia...👀
Tafuta bwana uolewe hukohuko limbukeni weye!Hata siku wazazi wangu wakiamua kurudi Tanzania mimi siwez kurudi. Sirudi kamwe hata kutokee nini sirudi kuja kueka makaz yngu Tanzania.
Siwez kunufaisha watu wavivu, wajinga wasiofanya kazi km inavotakiwa ila kla mwisho wa mwezi kwa kutumia kodi yng wanavimbisha matumbo na familia zao kila sku.
Bora nionekane sio mzalendo lakini pesa yangu ina thamani kubwa sana haiwez kutumika kizembe. Pesa yangu hawezi kulipa watu wasiofaa kulipwa au kufanyiwa vtu vya kipumbavu vsiokua na manufaaa kwa raia wote wa Tanzania kwa pamoja. Pesa yangu sichumi kwenye mti hivo haiwezi kutumika kizembe tu.
Bora niendelee kunufaisha wazungu mana wao wanatumia vizuri kodi, kla siku maendeleo yanaonekana na mimi nanufaika na maendeleo hayo. Lakini sio serikali ya Tanzania na utumiaji wake wa hovo kodi za wananchi.
Kuna mda ukifika ntabadilisha kabsa uraia...👀
Sawa lakini hela yako tutakuwa tumeitumia bila wewe kupendaWe Unafikiri pesa wanatoa bure? Mnalipa zaidi ya pesa wanazotoa halafu zinakuja kufanya maendeleo hku kwao
Kwani kuna mtu atakulazimisha kurudi basi!? Usirudi kabisa mwayego
NA HAMNA KITU WATAKUFANYA
Na wewe ni nani uniambie niende kabul 😂Tupo milioni 60 wewe ni nani ututishe . Nenda Kabul
Lakin na nyie tunatumia pesa zenu zaidi ya tulizotoa so haina shidaSawa lakini hela yako tutakuwa tumeitumia bila wewe kupenda
Nan amekwambia mimi ni mwanaume? Au umu kuna jinsia moja tu?Mwanaume unalia lia ivo
Wezi wakubwa hawa pesa yngu wataisikia kwenye bomba tuHii ndio Tanzania ambayo wanaojiita wachumi wamesomea kuiba hela za wananchi na sio kubuni miradi ya uzalishaji.
Kwani kuna mtu amekulazimisha au kukuhitaji? Kaa kwa wazungu wakutumie mbele na nyuma watakavyo. Unaweza kukuta unaishi huko ulaya kwa kutegemea social assistance. Badala ya kutafuta namna ya kutatua tatizo nawe ni sehemu ya tatizo. Shame on you.Hata siku wazazi wangu wakiamua kurudi Tanzania mimi siwez kurudi. Sirudi kamwe hata kutokee nini sirudi kuja kueka makaz yngu Tanzania.
Siwez kunufaisha watu wavivu, wajinga wasiofanya kazi km inavotakiwa ila kla mwisho wa mwezi kwa kutumia kodi yng wanavimbisha matumbo na familia zao kila sku.
Bora nionekane sio mzalendo lakini pesa yangu ina thamani kubwa sana haiwez kutumika kizembe. Pesa yangu hawezi kulipa watu wasiofaa kulipwa au kufanyiwa vtu vya kipumbavu vsiokua na manufaaa kwa raia wote wa Tanzania kwa pamoja. Pesa yangu sichumi kwenye mti hivo haiwezi kutumika kizembe tu.
Bora niendelee kunufaisha wazungu mana wao wanatumia vizuri kodi, kla siku maendeleo yanaonekana na mimi nanufaika na maendeleo hayo. Lakini sio serikali ya Tanzania na utumiaji wake wa hovo kodi za wananchi.
Kuna mda ukifika ntabadilisha kabsa uraia...👀
Wee endelea kupambana kwa ajili ya wajukuu zko 😂Baki hukohuko utumwani ndugu yangu....si tunapambana kuijenga nchi yetu hivyo hivyo kibishi bishi...
Hata huko unakowasifia walipata taabu hivihivi babu na bibi zao kujenga nchi zao, unafikiri huko uliko mwaka 1820 hawakuwa maprimitive?.... primitive stages kila Taifa linapitia na limepitia na wananchi husika walipambana kuuondoa huo uprimitive sasa wewe umekuta mteremko huko watu wamepambana unafurahia matunda baada ya wewe nawe kupambana kuondoa uprimitive kwenye Taifa lako ili wajukuu zako wafurahie matunda....
tusipende sana kufurahia matunda na urithi wa wengine walioachiwa na mababu zao huku wenyewe tukikwepa majukumu yakujenga nchi kwa manufaa ya wajukuu zetu..... ndio wazungu wanatudharau tunavyoenda kwao na kuleta ujuaji...
Njoo nkutafutie mteja na wewe uuze uchi wkoendelea kuuza nyuchi uko ulipo, Tz soko hakuna
Kabla ya mimi kufanyia nini Tanzania kwan hyo Tanzania imenifanyia mimi nini 👀 Hakna chochote ilichonifanyiaMpaka sasa umeifanyia nini Tanzania? Unafikiri hao wazazi wako bila nguvu za Watanzania wangefika huko?
Siku zote sio kila unachofanya ni kwa ajili yako tu, kuna watu wanasaidia yatima, wengine wanasomesha Watanzania wenzao masikini, na mengine mengi, kwa hiyo kuwa na amani tu, tulia uko maisha yetu yanaendelea hata bila wewe.
Mimi sio kuwadiNitafutie demu
SIRUDIAcha utoto rudi bongo.